Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 1,182
- 1,823
Na yeye hajasema yuko peke yake anataka amle so issue ya kuombwa pesa na kumla iko pande zote hapo.Yes asante studio huu wimbo pia, unamfaa pia mleta uzi ajue hayupo peke yake aneombwa Hela🤣🤣 ngoja siku aje akutane na hili BATO
Unaonekana Una ujuzi Sana na drama za hawa viumbeNa yeye hajasema yuko peke yake anataka amle so issue ya kuombwa pesa na kumla iko pande zote hapo.
Sema wanaliana timing tu.
Mdada kaaminishwa kuwa ili aliwe lazima kwanza amsopoe msela vya kutosha
Na msela kaaminishwa kuwa kumla manzi yeyote bila kutumia gharama kubwa ni ujanja na utoto wa mjini.
So wote wako sawa in every one's perspective.
Kumbuka mwanzo katumia kauli (wengine tuna goals juu yenu) huyu ana hisia za kuweka kambi!Na yeye hajasema yuko peke yake anataka amle so issue ya kuombwa pesa na kumla iko pande zote hapo.
Sema wanaliana timing tu.
Mdada kaaminishwa kuwa ili aliwe lazima kwanza amsopoe msela vya kutosha
Na msela kaaminishwa kuwa kumla manzi yeyote bila kutumia gharama kubwa ni ujanja na utoto wa mjini.
So wote wako sawa in every one's perspective.
WHy should you care? Fu.ck them off!!!, ukiwapotezea wanajua kabisa kuwa umewanunia sababu wanakuomba hela mara kwa mara 😄 Fanton Mahal Sonko Bibo Melancholic Equation x
Was was ndio akiliWeee naona kbsaa hapa napigwa vizuri.
Hapa napimwa mzee wangu
Sasa kwenye ulimwengu wa capitalism unataka mtu aombe mbegu ya mtama?Hawa wanawake wa Dunia ya leo mostly ni maslahi mbele
Ajira hamna, kupitia mahusiano kwao ni ajira ndio maana mizinga mingi. Kama anakupenda kweli atakushauri namna ya kutafuta hela na si namna ya kutumia hela.Wanasemaga mdada anaekuomba hela mda mfupi baada ya kumtongoza hakupendi, ila mm kwa uzoefu wangu kuna wadada walikuwa Wananipiga hivyo vizinga vya mda mfupi baada ya kuwatongoza na vya mara kwa mara.
Na kwenye talking stage wanaonesha ishara za kutaka kuwa kwenye uhusiano na mimi, kimaneno na kimatendo sasa nakua sielewi elewi..
Na ni wajanja kweli, ukiwapotezea wanajua kabisa kuwa umewanunia sababu wanakuomba hela mara kwa mara 😄 Fanton Mahal Sonko Bibo Melancholic Equation x
Tulia mimi nataka niwekeze kbsaa aje kuwa wife sasa mambo gani ananiletea duh.🤣🤣🤣ama kweli mkuki wa kitimoto kwa binadamu mchungu, na nyie mnavyoomba mzigo mapema hamjioni?
Mkuu nipo live aisee ahsante nyuzi kama hizi huwa zinanivutia sanaMelancholic oya chukua code hizi
A man always wanna fu*ck a woman.Kumbuka mwanzo katumia kauli (wengine tuna goals juu yenu) huyu ana hisia za kuweka kambi!
Mhelp 😂mzee baba.We mtu hatujafahamiana vyema
Siku moja tu ndani ya masaa 5 unaomba Hela, buku tano ?
Sio kwamba hatuna pesa, ila hizi tabia dadeq , tunawaona matapeli nyinyi.
Basi angalau vuta time kidogo wengine tuna goals juu yenu ila mnakuwa wehu
Ni umasikini au?
View attachment 3457889
Muonye atabadilikaTulia mimi nataka niwekeze kbsaa aje kuwa wife sasa mambo gani ananiletea duh.
Mnatukatisha tamaa
Awapi ngoja tuone mwsho wakeMhelp 😂mzee baba.
Inaonekana michezo yake hii mkuuMuonye atabadilika
Kesho nauchuna😂Muonye atabadilika
Unatoa helaA man always wanna fu*ck a woman.
Regardless of the circumstances.
So mtu anapotaka kuweka goals zake kwa mwingine ni beneficial factors kwa pande zote mbili.
So ni either jamaa atumie ufala alio nao ili amle au aweke ujanja mbele amkose huyo mwanamke.
Mi ninachojali ni kumla mwanamke huwa sianzi kuwaza sijui atanipenda kama nilivyo.
Namjaza kwenye mfumo namtafuna, na sometimes najua kabisa kuwa kwenye nafsi yake simo.
Kanuni zingeamua kuwa wapeane wapendanao tu wengine tungebaka mbuzi tu.
But kwa kuwa tunayasoma mapungufu yao nasi tunacapitalize kwenye weak points zao zinabakia siri mioyoni mwetu.
Na akija anakutana na show kali posho mlima.
Anajikuta anataka aweke kambi ili kuwazibia wenzake nafasi wasipewe show kama yake.
Kumbe ndio anazidi kutafunwa bure..
Mi nikimuelewa malaya na akawa mkali na wa bei kubwa namtangazia dau kubwa kidogo ambalo hawezi kulikataa
Maana najua hawezi kuliwa mara moja ataliwa hata mwaka mzima huku akiwa anabembeleza nisimuache.
Maana silaha yangu ya maangamizi naitambua na inanifanya nijiamini.
So yeye anakuja kukutana na kitu ambacho kwake ni Suprise hakuwa akikitegemea kukikuta kwangu.
Kiaje mkuu?Unatoa hela
Vipi kakini wahi na knockout kubwa ?
Nahisi naliwa timing mzee , unatoa helaKiaje mkuu?
Usikute hajajua kama upo seriously naye alijua na wewe ni play boyInaonekana michezo yake hii mkuu