Hivi wanawake mkoje?

Chambo huliwa ili samaki aliwe..
Sisi ni wawindaji
Mimi mwanamke asieomba pesa ananipa tabu kisenge yaani..
Lakini yule anaeniomba mara vocha sijui elfu tano na kumi
Huyo ni uhakika kuwa nakula..
Kuna muimbaji aliwahi Kuimba,,,,,,,kuchora,kuchora kitu Gani unaweza ukachora na Bado usione ndani!
 
 
Saivi sijibiwi sms tena baada ya kumkwepa aiseeeπŸ™ŒπŸΌ
 
Wanasemaga mdada anaekuomba hela mda mfupi baada ya kumtongoza hakupendi, ila mm kwa uzoefu wangu kuna wadada walikuwa Wananipiga hivyo vizinga vya mda mfupi baada ya kuwatongoza na vya mara kwa mara.

Na kwenye talking stage wanaonesha ishara za kutaka kuwa kwenye uhusiano na mimi, kimaneno na kimatendo sasa nakua sielewi elewi..

Na ni wajanja kweli, ukiwapotezea wanajua kabisa kuwa umewanunia sababu wanakuomba hela mara kwa mara πŸ˜„ Fanton Mahal Sonko Bibo Melancholic Equation x
 
Mpk sasaiv sijibiwi sms πŸ˜‚
Sijui kachukia au la!
Kesho nawaza nimtafute au nimpotezee mpka kesho kutwaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni noma sana mkuu,,hawa watu watatuua,,na hapa hata bado sijamtongoza nimechukua namba tuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
*****😁😁sasa ukitongoza si utapewa mkeka wa Kodi, umeme, maji, chakula, vocha, nywele, vikoba,
 
Mpk sasaiv sijibiwi sms πŸ˜‚
Sijui kachukia au la!
Kesho nawaza nimtafute au nimpotezee mpka kesho kutwaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tulia kimya kabisa,, Kisha baada ya siku mbili mpigie simu.
Usipende kuchati na wanawake unapokuwa unataka kumla mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…