Tafuta pesa kijana
Kama sio UKIMWIUtakuwa una nyota ya papuchi
Sijui nina moyo mdhaifu kila mwanamke Mzuri nikikutana naye najikuta nampenda na natamani kuwa naye, yaani kwa siku nikikutana na wanawake 10 basi nane nitakuwa nimewatamani.
Ukikua utaacha, unasumbuliwa na baleheSijui nina moyo mdhaifu kila mwanamke Mzuri nikikutana naye najikuta nampenda na natamani kuwa naye, yaani kwa siku nikikutana na wanawake 10 basi nane nitakuwa nimewatamani.
Sio wewe ni macho yako na tamaa iwakayo ndani yako.. Shibe ya macho ni kuona na kutazama.. Tamaa ndio inayokusukuma utazame niniSijui nina moyo mdhaifu kila mwanamke Mzuri nikikutana naye najikuta nampenda na natamani kuwa naye, yaani kwa siku nikikutana na wanawake 10 basi nane nitakuwa nimewatamani.