- Thread starter
- #81
Mimi sio mkatolikiWewe lazima ni Mkatoliki haswa au Muislam haswa kwani kundi hizo hazina msamiati wa uzazi wa mpango
Mimi sio mkatolikiWewe lazima ni Mkatoliki haswa au Muislam haswa kwani kundi hizo hazina msamiati wa uzazi wa mpango
Hongera 6 n counting.. hopefully in 2020 watakua wamefika kumi Na kitu.
Dini yangu inanilazimisha niweze kuzaa sana sababu Nina uwezonyota ya kijan inakuhisu!!!!!
Kwani wewe rizki yako unaijua iko wapiWatoto 6?
Hawa kweli watasomeshwa wote mpaka level ya degree kweli?
Hapana nakupa ukweli wa mambo
Kama sio kweli kwanini unakumbuka maisha yako ya zamani kabla hujawapata hao watoto
Majukumu yameongezeka maradufu.
Alafu umesema mkeo ana uja uzito wa miezi miwili bila shaka atakuwa mtoto wa 7.Muonee mkeo huruma jamani atakosa nguvu.
Alafu hivi mtu utakuwa na mawazo usijue yamesababishwa na kitu gani??
Huwa unatindikiwa na aina gani ya mawazo?
Halafu mkuu miaka 33 una watoto 6, hao watoto ni mapacha pair tatu au kila mtoto mmoja alizaliwa kipeke yake ndani ya miaka hiyo 7?
Kwani wewe rizki yako unaijua iko wapi
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu,your post is fake one with unrealistic information,miaka 7 ya ndoa watoto 6?jipange!halafu unataka tukushauri nini na jibu unalo?sio lazima kufungua thread.
Nina miaka 33 nimeoa miaka 7 iliyopita nimejaaliwa watoto 6, hali yangu ya kimaisha sio mabaya ninao uwezo wa kifedha.
Turudi kwenye topic nimekuwa ni mtu mwenye mawazo kila wakati Nafsi yangu haina raha nasijui tatizo ninini.
Tuna maelewano mazuri sana na mke wangu hatuna ugomvi, tatizo hili limeanza kama mwaka mmoja umepita na siku zinavozidi kwenda ugonjwa huu naona unazidi kuwa Mkubwa kwangu.
Situmii kilevi cha Aina yoyote ile Jamani embu nisaidieni natamani sana kufurahia maisha.