Huwa unatindikiwa na aina gani ya mawazo?
Halafu mkuu miaka 33 una watoto 6, hao watoto ni mapacha pair tatu au kila mtoto mmoja alizaliwa kipeke yake ndani ya miaka hiyo 7?
Kama una upendo wa kweli kwa mkeo labda anakucheat....samahani lakini
ndo maana nimesema labda
Namwamini sana kwa hilo ondoa wasiwasi
Huwa nakumbuka sana maisha yazamani wakati kabla sijapata watoto,mapacha mara moja nahao wengine kila mmoja amezaliwa tofautiHuwa unatindikiwa na aina gani ya mawazo?
Halafu mkuu miaka 33 una watoto 6, hao watoto ni mapacha pair tatu au kila mtoto mmoja alizaliwa kipeke yake ndani ya miaka hiyo 7?
Wala sijakosea watoto 6 ndani ya miaka 7 watano wakiume mmoja wakike,inawezekana ikawa nimajukumu yamekuwa mengi ndio sababu mawazo hayaniishi kichwani kwasababu huwa nakumbuka sana maisha ya zamani