Ally Lipende
Member
- Dec 27, 2017
- 90
- 61
Asee nimekubali data zako😂😂😂😂TZ kuna watu milioni 55, tuanze kukokotoa.
milioni 10 wazee.
milioni 15 watoto, miaka 17 kurudi nyuma.
milioni 20 wanawake.
milioni 15 wanaume, hapa tutatoa milioni 5 ya wanaume wenye matatizo mbalimbali ambao kwa namna moja au nyingine utashindwa kufikia gololi zao, kwahiyo watabaki milioni 10 ambao ni marijali.
tuchukue 90% ya milioni 10....
90%/100 x 10000000 = 9,000,000
number don't lie, asilimia 90 ya milioni 10 ni milioni 9........kwahiyo dada yangu hiyo risechi yako ulifanya kwa watu milioni 9??????????