lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,484
- Thread starter
- #21
mwe njoo ujaribu kwangu.niite halafu nipe pesa halafu niambie nakupenda sana...au nitumie kwa mpesa
Nipe namba yako ya M pesa
mwe njoo ujaribu kwangu.niite halafu nipe pesa halafu niambie nakupenda sana...au nitumie kwa mpesa
Ukitumwa dukani kwenda kununua unga huwa unafanyaje?
Si unauliza kwanza kama unga upo au la?
kama hiyo pesa unayo mi npo tayari kuwa uwanja wa mazoezi...jifunze kupitia mimi!!!
Only in africa sababu ya poverty na unemployment,Uku mtoni kila mtu anatumia pesa yake na kujilipia,hakuna kuombana pesa,da bado mnasafari ndefu kufikia true love
Kwa stahili hiyo bora nife kibudu nimeshindwa mimi
Asalaam aleikhum wadau wa MMU.
Huwa najiuliza bila kupata majibu.Nimesikia wengi wakisema "hapendwi mtu inpendwa pochi" na maneno kama mwanamke anaangalia pesa ya mwanaume sio sura".Hapa ndipo ninapopata suida.Je ukimtaka mdada kwa kutumia pesa unamwita halafu unampa pesa kisha atakupa "utamu"? Au unamwomba kwanza Utamu akikataa ndo unaidhinisha ruzuku? Kitu nisichojua unatongoza kwanza ukikataliwa ndo unaingiza nguvu ya pesa? Au unaingiza nguvu ya pesa kwanza baadae ndio unaomba tunda? Na je? kama ukitoa pochi kwanza alafu mtu akala afu asitoe utamu utafanyaje?. Sio utani ni jambo ambalo linanichanganya sana.Nisaidieni tafadhari.
hata mimi naruhusiwa au ni mtoa mada tu?
Mmmmh hii ni aina nyingine ya ujambazi
Kuna kitu nimejifunza