Hivi wanatongozaje kwa kutumia pesa?

Hivi wanatongozaje kwa kutumia pesa?

RWAMKOMEZI
Umeongea pointi safi sana na ndio sehemu ya kiini cha hoja yangu.Kua kama pesa ndio inatongoza utawezaje kumpa mrembo pesa kabla ya kumtongoza kwanza na ama utawezaje kumtoa out kwanza kabla ya tongozo?.

Mimi nadhani ujumbe wa maneno hutangulia na baadae pesa hufuata.Pesa husaidia mwanamke kukubali haraka lakini sio ndio kianzio na bado unaweza mpa pesa na lunch akala na keki asitoe.
 
Mwombe namba ya simuu halafu mwambie naku_mpesa au tigopesa au airtelmoney au jamiimoney kila siku we mpe tu mapesaaaaaAaaa mpe sanaaaa atakuja tu yani pesa kama ulimbo vileee
 
Nakubaliana na wewe kabisa ushawishi kwanza ikijumlisha na pesa vinginevyo hela italiwa huku kudai huwezi kushitaki huwezi.Ila umeharibu komenti yako kwa lugha ya kashfa na kejeli.

Huko Humu Kama Editor Wa Kusahihisha Mawazo Ya Watu? Kashfa Na Kejeli Hapo Ipo Wapi? Acha Kabisa Upashkuna Wako Wa Kike.
 
Evelyn Salt
khaa!! mbona njia yako ni ndefu mno? Nani ana muda wa kupoteza hivyo kwenye hii dunia yenye shughuli nyingi. Kwa kifupi mtafute uliyemtamani muulize direct bei yake akichomoa ondoka zako nakuhakikishia haipiti nusu saa kabla hajaktutafuta.

BTW kutongoza maana ayke ni kutumia maneno ya uongo ili kupata kitu fulani na hapa pesa haihusiki. Sasa nani anaweza kudanganywa karne hii? Kila mmoja ana bei yake.

Tuwe wakweli.
 
sio wote wanaoweza kuomba kwichikwichi kirahisi inabidi aanza na maouting
 
huna haja ya kuongea wewe BABY acha pesa iongee

Ila kusema kweli EVA mie huwa nakuhusudu!,sema tu basi pesa yenyewe ya mawazo.Lakini ngoja kuna ka ESCROW fulani nakafatilia ofisini kakiitika lazima nije nije nile keki ya salt.Na ninavyopenda ladha ya chumvichuvi ni noma.Ila unaweza nitumia namba yako ya m pesa nikaanza kuonesha uaminifu wangu.Siogopi kuliwa mimi,mbona kwenye kamali tunaliwa tu.Tuma namba hiyo mrembo.
 
ha ha ha poa usiniangushe hicho ki escrow nshakiingiza kwenye bajeti zangu BABY
 
Mkuu kwa hiyo hapa sio pesa inyotongoza bali wanawake wanawapenda wenye pesa.Kwa sababu mimi nisie na pesa mfululizo nikazichanga miezi minne za kamshahara kangu.

Afu nikamtafuta mrembo mmoja anaeutesa sana moyo wangu.afu nikamkabidhi mzigo atanikubali? ilhali anajua kua mimi ni mtu arosto muda wote? isipokua tu siku hiyo nimezibamba

Mkuu yaani ukiwanazo tu ht km alikukataaga wahiiiiiiiii mwonyeshe njonjo tu km wallet inachekaa lzm ajiletee na unakulaa tundaa kiulainii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom