Hivi wanatongozaje kwa kutumia pesa?

Hivi wanatongozaje kwa kutumia pesa?

Asalaam
aleikhum wadau wa MMU.

Huwa najiuliza bila kupata majibu,nimesikia wengi wakisema "hapendwi mtu
inapendwa pochi" na maneno kama mwanamke anaangalia pesa ya mwanaume
sio sura".Hapa ndipo ninapopata shida.

Je ukimtaka mdada kwa kutumia pesa unamwita halafu unampa pesa kisha
atakupa "utamu"au unamwomba kwanza Utamu akikataa ndo unaidhinisha
ruzuku.

Kitu nisichojua unatongoza kwanza ukikataliwa ndo unaingiza nguvu ya
pesa, au unaingiza nguvu ya pesa kwanza baadae ndio unaomba tunda.

Na je kama ukitoa pochi kwanza alafu mtu akala afu asitoe utamu
utafanyaje. Sio utani ni jambo ambalo linanichanganya sana.

Nisaidieni tafadhari.

mwanaume mwenye fweza mtamu bwana, hana polojo nyingi, hatumi vimeseji virefu kama barabara

haya mojawapo ya mameno ya mme mwenye pochi.

mambo? you look nice, naitwa G na wew? ok naomba no yako niko bize nitakutafta nikiwa free

kesho yake utaskia sms 3 zinaingia kwa nguvu titi titii titiii, hapo ujue m-pesa washafanya yao

usiwe bored kazi zinabana mama.

ahaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom