Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Ukiwa na pesa wadada watakutongoza had hujui umchukue yupi...
ww hujaelewa topic...U.ME.KU.RU.PU.KA.
Ukiwa na pesa wadada watakutongoza had hujui umchukue yupi...
ukiniuliza unipe sh ngp nikupe ntakumind mnoooo....ok cha kufanya ni hivi...niite mahali pazuri zuri, piga story mchanganyiko tu zisiwe za tongozo wala kujisifia sifia kifamba ooh mara una gari mara.nini utaniboa acha nile ninywe tena unanichombeza na vineno mshenzi "feel free eva agiza unachotaka" clear bill tukuagana ntoe hela baadae unapiga.kasimu kujua kama nmefika asbh unatuma kivocha hv siku nyingine ukiniita ntaanzia wapi kukataa??? mdogo mdogo hvo hvo siku ukiniita rum najileta ila make.sure una mvuto sio unajiweka kama sanamu udhani ntakupa ntakuchuna.tu watakula wenzio....
huo ni mfano wa.namna ya kuacha pesa iongee unaezazidisha viufundi uchwara vya kunipeleka shopping n.k n.k
halafu ww itabidi nikutafute hadi nikugonge...wallah
nani kaibiwa hapo lol
Umugonge????.
halafu ww itabidi nikutafute hadi nikugonge...wallah
we unatuma tu kwa m pesa mara nyingi iwezekanavyo hadi mwenyewe atajistukia na kukutafuta....
Mmmmh hii ni aina nyingine ya ujambazi
ww hujaelewa topic...U.ME.KU.RU.PU.KA.
kama hiyo pesa unayo mi npo tayari kuwa uwanja wa mazoezi...jifunze kupitia mimi!!!