Hivi walimu tumemkosea nini Mungu?

Hivi walimu tumemkosea nini Mungu?

Watumishi wa umma wa Tanzania ni kikundi cha watu wasiojua thamani wala umuhimu wao. mtu akilipwa kamshahara kake ka laki 2 akanunua ka tv flat na kasimu ka techno huhisi kamaliza.
wamejawa na majungu, uongo, uzandiki, kujipendekeza kwa wakubwa zao hata kwa gharama za wenzao, chuki na fitna
 
Uko sahihi
 
Viongozi wakuu almost wote nchi hii ni walimu, nahisi waliichukia sana hii sector, I believe watu huwa wanapita tu kwenye ualimu. Njia ya chooni unapita ukiwa Na shida tu mkuu
 
Yani hadi najuta kusomea hii kazi, kila mtu bosi wako. Akija mzazi anataka akupige, Mkuu wa shule akupige mikwara, Afisa elimu akutishe, Mkuu wa mkoa akuogopeshe, jamani hadi lini.

Yani hadi unaweza kukufuru kuzaliwa katika familia masikini, bila umasikini wa familia yangu nisingesomea huu upumbavu. That time nilivutika kusomea kwa sababu ya mkopo na jinsi Al habiby Jakaya M Kikwete alivyokuwa anawatreat Walimu, ila kwa sasa najuuuta, najuuuta.

Mungu, sisi binadamu tunakosea, hatujakamilika, usituadhibu kwa mateso haya, nakuomba tuondolee haya mateso, Wewe Mungu unajua utayaondoaje, kwako hakuna linaloshindikana.

Tukatane 26 April tuadhimishe muungano.
Nyie waalimu ndio mliotufikisha hapa tulipo.Hongera zenu tutaendelea kuwapa kwa wingi sana.
 
Ualimu kazi km zingine wito kanisani
Tatizo lilianza miaka mingi nyuma;
1. Walimu wa UPE
2. Walimu wa kujitolea
3. Point 26 za kidato cha nne ndo sifa ya kwendea ualimu
4. Walimu wa vodafasta.

Sasa, bila kujazia nyama neno mwalimu, wengi wanabaki na hiyo notion kuwa wengi walienda huko baada ya kuwa failures.

Wakali wa GPA wengi walishawishiwa kubaki vyuoni kuwapiga pindi wengine; hawa huwasikii wakipanga kugoma jumamosi na jumapili, na walipogoma tu; wote wakaingizwa PSPF.

Na hili ni kwa kila upande, utasikia engineering ya CoET ni bora kuliko ya Dar Tech, lakini SIDO na VETA wanabuni na wanaunda mavitu ya kurahisisha kazi mtaani; wao wanabaki kuchambua kisomi; serikali haijawekeza kwenye RISECHI...hapo ujue wanatafuta jinsi ya kupiga hela...

Ngoja nisikuchose....
 
Laiti mngewajua hao walimu wenyewe sasa. Malalamiko mlima utandaji kichuguu. Nani atawasikiliza. Fani imevamiwa hii.
 
Tatizo lilianza miaka mingi nyuma;
1. Walimu wa UPE
2. Walimu wa kujitolea
3. Point 26 za kidato cha nne ndo sifa ya kwendea ualimu
4. Walimu wa vodafasta.

Sasa, bila kujazia nyama neno mwalimu, wengi wanabaki na hiyo notion kuwa wengi walienda huko baada ya kuwa failures.

Wakali wa GPA wengi walishawishiwa kubaki vyuoni kuwapiga pindi wengine; hawa huwasikii wakipanga kugoma jumamosi na jumapili, na walipogoma tu; wote wakaingizwa PSPF.

Na hili ni kwa kila upande, utasikia engineering ya CoET ni bora kuliko ya Dar Tech, lakini SIDO na VETA wanabuni na wanaunda mavitu ya kurahisisha kazi mtaani; wao wanabaki kuchambua kisomi; serikali haijawekeza kwenye RISECHI...hapo ujue wanatafuta jinsi ya kupiga hela...

Ngoja nisikuchose....
Haha

serikali haijawekeza kwenye research
huu msemo unapendwa sana
 
Yani hadi najuta kusomea hii kazi, kila mtu bosi wako. Akija mzazi anataka akupige, Mkuu wa shule akupige mikwara, Afisa elimu akutishe, Mkuu wa mkoa akuogopeshe, jamani hadi lini.

Yani hadi unaweza kukufuru kuzaliwa katika familia masikini, bila umasikini wa familia yangu nisingesomea huu upumbavu. That time nilivutika kusomea kwa sababu ya mkopo na jinsi Al habiby Jakaya M Kikwete alivyokuwa anawatreat Walimu, ila kwa sasa najuuuta, najuuuta.

Mungu, sisi binadamu tunakosea, hatujakamilika, usituadhibu kwa mateso haya, nakuomba tuondolee haya mateso, Wewe Mungu unajua utayaondoaje, kwako hakuna linaloshindikana.

Tukatane 26 April tuadhimishe muungano.
Kwani ilikua lazima kusomea hiyo taaluma? jamani kuajiliwa cyo lazima tufanye ujasiliamal
 
Yani hadi najuta kusomea hii kazi, kila mtu bosi wako. Akija mzazi anataka akupige, Mkuu wa shule akupige mikwara, Afisa elimu akutishe, Mkuu wa mkoa akuogopeshe, jamani hadi lini.

Yani hadi unaweza kukufuru kuzaliwa katika familia masikini, bila umasikini wa familia yangu nisingesomea huu upumbavu. That time nilivutika kusomea kwa sababu ya mkopo na jinsi Al habiby Jakaya M Kikwete alivyokuwa anawatreat Walimu, ila kwa sasa najuuuta, najuuuta.

Mungu, sisi binadamu tunakosea, hatujakamilika, usituadhibu kwa mateso haya, nakuomba tuondolee haya mateso, Wewe Mungu unajua utayaondoaje, kwako hakuna linaloshindikana.

Tukatane 26 April tuadhimishe muungano.
Bado kwenda Primary bila malipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom