- Thread starter
- #61
Mama yetu alikua anatuambia sitaki hata mmoja wenu awe Mwalimu
Mpende sana mama yako, kawaepushia janga
Mama yetu alikua anatuambia sitaki hata mmoja wenu awe Mwalimu
Unasema kazi uliyonayo ya ualimu ni mbaya? Je nzuri unayo?Ipoteze hiyo uliyonayo ndipo utaona cha mtema kuni.tafuta muda wa ziada ufanye ujasiriamali.
Ndyo hivyo!Kila sehemu hali ni hiyo hiyo, halafu huko kanda ya ziwa kila mtu anajikuta rais kisa ndugu yao rais
Nicheck pm!Wee Gen huku kijijini najiongezaje, labda nijiuze kwa wakulima. Halafu uhamisho analeta Zengwe.
Kwanza njoo pm unipe mikakati uliondokaje Mtwara.
Duhhhhh! Pole sanaPrimary anapelekwa mwenye degree anaachwa mwenye diploma. Kisa mwenye degree siyo kabila la Mkuu wa shule au hajatoa Rushwa
Umeolewa mamy K?Wee Gen huku kijijini najiongezaje, labda nijiuze kwa wakulima. Halafu uhamisho analeta Zengwe.
Kwanza njoo pm unipe mikakati uliondokaje Mtwara.
katika kipindi changu nipo katika taaluma hiyo, nilikuwa mkorofi sana kwa hao mabosi.....Uzuri mimi huwa sipendi kupelekeshwa, yaani hii mikwara yao kuna siku nitatafuna kor'dani za mtu.
Ualimu ni kada ya watu waliofeli shuleApo huwa nashangaa kijana akikosa kupata sehemu yoyote ya kujiendeleza utasikia"ata ualimu umekushinda"sasa apo sijui ni kwamba professional zote tz,ya ualimu ndo rahisi au nn?
duuhUalimu kazi km zingine wito kanisani
Mods kwa nini mmeiomdoa tarehe 26 April kwenye thread yangu, kwani sasa hivi ni dhambi kutaja tarehe ya muungano?
hahahahaha mama k nakukumbukaga sana aisee !nimejikuta nacheka
katika kipindi changu nipo katika taaluma hiyo, nilikuwa mkorofi sana kwa hao mabosi.....
Usicheke bwana, mwenzio yamenifika hapaaa
Madam unamshaurije mwalimu mwenzio kuepukana na kadhia hiiFanya yako wenzio sasa hivi wala hatuna muda tunafanya yetu tuu!
Ualimu ukiufikiria utapata stress Fanya yako