Auze askirimu,karanga,juice nkMadam unamshaurije mwalimu mwenzio kuepukana na kadhia hii
Hata Arch angel naye ni tichaAndika barua yako ya malalamiko uipeleke kwa mwalimu wa kemia pale getini magogoni.
Nasikia na mkewe pia alikuwa mwalimu kabla ya kuingia jumba jeupe.
Huenda wakakusikia, maama wanajua machungu ya waalimu.
watu tunataka kazi we unazalau kazi,
KabisaMkuu hiyo kazi ina heshima sana nashangaa umeiona ni ya upumbavu nadhani kwa kuwa ulisoma ili upate mkopo
Mkuu kila kazi ina Chain of command! Ni bora uifahamu vyema na uifurahie ili usizeeke mapema. Hao wengine ulotaja hata hawapo kabisa kwenye chain yako.Yani hadi najuta kusomea hii kazi, kila mtu bosi wako. Akija mzazi anataka akupige, Mkuu wa shule akupige mikwara, Afisa Elimu akutishe, Mkuu wa Mkoa akuogopeshe, jamani hadi lini.
Yani hadi unaweza kukufuru kuzaliwa katika familia masikini, bila umasikini wa familia yangu nisingesomea huu upumbavu.
That time nilivutika kusomea kwa sababu ya mkopo na jinsi Al habiby Jakaya M Kikwete alivyokuwa anawatreat walimu, ila kwa sasa najuta, najuta.
Mungu, sisi binadamu tunakosea, hatujakamilika, usituadhibu kwa mateso haya, nakuomba tuondolee haya mateso, wewe Mungu unajua utayaondoaje, kwako hakuna linaloshindikana.
hah, kwan hii official letter ? i write as i want/canKwa huu mwandiko usijali endelea kutafuta kazi
Kweli adui wa mwalimu ni mwalimu leo hii mwalimu wa kemia hana habari na walimu wenzie
nani anakutisha tisha ningekua mwalimu napiga wote hao baba,mama,mtoto,afisa elimu na wajinga wajinga wengine ni ngeu tu
Duuh mkuu umeongea facts hapoTatizo lilianza miaka mingi nyuma;
1. Walimu wa UPE
2. Walimu wa kujitolea
3. Point 26 za kidato cha nne ndo sifa ya kwendea ualimu
4. Walimu wa vodafasta.
Sasa, bila kujazia nyama neno mwalimu, wengi wanabaki na hiyo notion kuwa wengi walienda huko baada ya kuwa failures.
Wakali wa GPA wengi walishawishiwa kubaki vyuoni kuwapiga pindi wengine; hawa huwasikii wakipanga kugoma jumamosi na jumapili, na walipogoma tu; wote wakaingizwa PSPF.
Na hili ni kwa kila upande, utasikia engineering ya CoET ni bora kuliko ya Dar Tech, lakini SIDO na VETA wanabuni na wanaunda mavitu ya kurahisisha kazi mtaani; wao wanabaki kuchambua kisomi; serikali haijawekeza kwenye RISECHI...hapo ujue wanatafuta jinsi ya kupiga hela...
Ngoja nisikuchose....