Utawaweza wana wa sadamu? Mara ya kwanza mwaka 1998 niliona mwanamke amebebwa na vijana watatu guest house. Ilikuwa ni Mbulu pale Endasaki.Kama ni kweli wanapenda sana mb...oo kuliko hela basi watanifaa sana maana na mimi napenda kugegeda kuliko hata kula.
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Sawa mjuba.Kama huna mpango wa kwenda maeneo hayo kubali tu yaishe.
Mkuu, niamini nina uwezo!!!Utawaweza wana wa sadamu? Mara ya kwanza mwaka 1998 niliona mwanamke amebebwa na vijana watat guest house. Ilikuwa ni mbulu pale Endasaki.
Ni juzi tu wanawake wa kinyakyusa wametoka kuhukumiwa kwa kutofaa kuolewa na wanaume wa kabila tofauti. Wavulana wa Kitanzania hawapo tayari kukabiliana na changamoto za ndoa, ni wavivu wavivuu...Haya mambo magumu sana, naona watu full kuhukumu kabila zima kwa mapungufu ya wachache
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila anko tuende mbele turudi nyuma mbona kuna makabila hayahukumiwi?Ni juzi tu wanawake wa kinyakyusa wametoka kuhukumiwa kwa kutofaa kuolewa na wanaume wa kabila tofauti. Wavulana wa Kitanzania hawapo tayari kukabiliana na changamoto za ndoa,ni wavivu wavivuu...
Kabila lipi litajwe humu lisifokewe? Lipi Anko? Litaje hata moja uone litakavyo tetemeshwa hadi utashangaa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila anko tuende mbele turudi nyuma mbona kuna makabila hayahukumiwi?
Wanawake wa kisukuma sijawahi kuona wakifokewa [emoji1787][emoji1787]Kabila lipi litajwe humu lisifokewe? Lipi Anko? Litaje hata moja uone litakavyo tetemeshwa hadi utashangaa [emoji1][emoji1][emoji1]
Hebu msome mkuu hapo juu[emoji115][emoji115]Binafsi mnanichanganyia madesa,Mnataka Kilwa94 nikaoe wapi.!Nikitangaza nia kwa Muhaya mnasema wahaya malaya,nikitangaza nia kwa Mrangi nao mnasema malaya..mbulu na Iraq nao pia mnasema malaya.Haya sasa nikaamua kurudi nyumbani nako mkasema Wandengereko,Zaramo na Makonde ni malaya.Dah! Mnanivuruga Ok fine ngoja Kilwa94 nihamishie kambi huko Unyamwezini-Tbr.
Hapo umenishika mkono sina la kuongea, ninae ndani [emoji1][emoji1]Wanawake wa kisukuma sijawahi kuona wakifokewa [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona anko, ukiona kila siku unafokewa wewe tu jua una tatizo. Huo mfano niliokupa siku ukiona wanafokewa niiteHebu msome mkuu hapo juu[emoji115][emoji115]Hapo umenishika mkono sina la kuongea, ninae ndani [emoji1][emoji1]
Kusema ukweli wale wa kwetu unatakiwa uwe na roho ngumu zaidi ya jiwe, hao ulio wataja ni wapole hadi huruma, ukitaka kuwatenda unajiuliza mara mbili mbili na kosa haulipati, unaghairi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona anko, ukiona kila siku unafokewa wewe tu jua una tatizo. Huo mfano niliokupa siku ukiona wanafokewa niite
[emoji16][emoji16][emoji16] umeona sasa, japo sio vizuri kuhukumu kabila zima mimi hapa nikipewa vidonge vya kabila langu nameza tu hata kama mimi sipo hivyoKusema ukweli wale wa kwetu unatakiwa uwe na roho ngumu zaidi ya jiwe, hao ulio wataja ni wapole hadi huruma, ukitaka kuwatenda unajiuliza mara mbili mbili na kosa haulipati, unaghairi...
Siku nikikuta wanafokewa hata mimi nitashangaa sana
La kwenu huwa mnaonewa kwa kweli,matukio ni machache mno kulinganisha na idadi yenu.[emoji16][emoji16][emoji16] umeona sasa, japo sio vizuri kuhukumu kabila zima mimi hapa nikipewa vidonge vya kabila langu nameza tu hata kama mimi sipo hivyo