mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,334
- 12,466
Juzi palikuwa na msiba wa mzee Ally Pazi Samatta,,media zote zilitoka na kumuaddress kama baba mzazi wa Mbwana Samatta it's true but hamna anaekumbuka kuwa mzee Samatta ni gwiji mstaafu wa soka la nchi hii?
Amekuwa kamptain wa Simba na Taifastars for more than 5 years hilo halikuzungumziwa..amekua coacher wa African lion pia..
NB.Simba na Tff hata kumpost legend wao hawakuweza
Amekuwa kamptain wa Simba na Taifastars for more than 5 years hilo halikuzungumziwa..amekua coacher wa African lion pia..
NB.Simba na Tff hata kumpost legend wao hawakuweza