Hivi wadada kama hawa wapo dunia hii?

Hivi wadada kama hawa wapo dunia hii?

Wapo wengi sana...
Toka nje ya dar, nje ya tanzania...
Utastaajabu na unaweza usitamani kurudi tena...
 
1434749168104.jpg
 
teh teh teh mkeo hana wivu?

Ana wivu sana ila pia ananipenda mno hivyo akaona pale angeninyima hata kuangalia angekua kaninyima raha ya wiki nzima. Maana kote tulizunguka mlimani city mimi niko busy na mtoto na yeye, ila kufika quality centre vilipita vibinti na kelele halafu kimoja sasa, aisee hapana.
Nafikiri kile nikimweka wife chini vizuri nimsomeshe naweza achiwa hata mara 1 hivi nipite. Sema na ka vitz itabidi niache. Hapo sasa ndio mtihani utakapokuwepo.
 
Back
Top Bottom