Hivi wadada huko kwenye Kitchen party mnafuataga nini..?

Hivi wadada huko kwenye Kitchen party mnafuataga nini..?

Maana yale mnayoimbiwa na kuimbiwa kwenye vitchen party huwa yanaishia wapi...

Yaani mnayosomeshwa kwenye Vitchen party juu ya ndoa zenu ni tofauti kabisa...

Mnafundishwa kutupikia PILAU BIRIANI... LAKINI MNACHOKUJA KUTUPIKIA NI MCHELE ULIOCHEMSHWA KWA MAJI TU BILA MAFUTA...

HUKO KITCHEN HUWA MNAFUATA NINI...? VYOMBO NA VITENGE AMA...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafundishwa kuwasuta majirani na kwenda kwenye vigodoro ili wapate vidumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh pole kaka, suala la mapishi nalo ni changamoto sana kwa wadada wengi. NIjuavyo mimi kumfundisha binti kupika na kazi nyingine za nyumbani ni jukumu la mama na sio kungwi kwenye kitchen party. kama mama hatomfundisha na kumzoesha mwanae wa kike kupika, basi kijana utakaeoa utapata tabu sanaaa (namuombea kijana wangu D aje apate mke anaejua mapishi kama mimi mama yake teh teh).
 
Back
Top Bottom