Hivi wadada huko kwenye Kitchen party mnafuataga nini..?

Hivi wadada huko kwenye Kitchen party mnafuataga nini..?

Ila ni kweli mwanamke kujua kupika ni muhimu sana hasa kwa tamaduni za ki Africa. Pengine kupika sio kipaumbele kabisa.
Lakini hata kama hajui kupika anaweza jifunza kupika hata baada ya kumuoa kama umempenda.
Mwanamke kujua kupika ni muhimu sana, siyo Africa pekee hata wazungu wanalitilia mkazo sana kwa watoto wao pia.

Kuanza kujifunza kupika baada ya kuolewa huwa kuna ugumu kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yale mnayoimbiwa na kuimbiwa kwenye vitchen party huwa yanaishia wapi...

Yaani mnayosomeshwa kwenye Vitchen party juu ya ndoa zenu ni tofauti kabisa...

Mnafundishwa kutupikia PILAU BIRIANI... LAKINI MNACHOKUJA KUTUPIKIA NI MCHELE ULIOCHEMSHWA KWA MAJI TU BILA MAFUTA...

HUKO KITCHEN HUWA MNAFUATA NINI...? VYOMBO NA VITENGE AMA...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hivi kumbe kazi ya mke ni kukupikia..!!
Ama mimi ndio sijakuelewa vizuri..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke kujua kupika ni muhimu sana, siyo Africa pekee hata wazungu wanalitilia mkazo sana kwa watoto wao pia.

Kuanza kujifunza kupika baada ya kuolewa huwa kuna ugumu kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Everyone should know how to cook hata wanaume, lakini kuwa kigezo cha kuolewa hapana. Mimi naona mtu akishapenda na kutaka kummiliki mtu wake , kutokujua kupika hapawezi kuwa sababu ya kutomuoa.
 
Siwezi kuoa mwanamke ambaye sijakuwa naye geto nikajua anaweza ufundi wa mapishi kiasi gani!

Lazima awe mhudhuriaji wa geto na kupika. Siyo kuonana lodge na hotels tu eti nikuweke ndani; uje unipikie kama alivyopikiwa mtoa mada.

Pole brother.

Maneno wanayosema kwenye kitchen party au send off huwa hayawasaidii lolote.
Wanaofaidika na yale maneno ni wanaobaki.

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38] mtoa mada awe mpole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kwao kuna wagonjwa hawatumii mafuta. Muelekeze unachotaka kupikiwa.
 
Maana yale mnayoimbiwa na kuimbiwa kwenye vitchen party huwa yanaishia wapi...

Yaani mnayosomeshwa kwenye Vitchen party juu ya ndoa zenu ni tofauti kabisa...

Mnafundishwa kutupikia PILAU BIRIANI... LAKINI MNACHOKUJA KUTUPIKIA NI MCHELE ULIOCHEMSHWA KWA MAJI TU BILA MAFUTA...

HUKO KITCHEN HUWA MNAFUATA NINI...? VYOMBO NA VITENGE AMA...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kuhudhuria?
 
Unategemea mtu afundishwe kupika aina zote za chakula siku moja? Kama hajafundishwa tangu mdogo usitegemee ajue. Kitchen party ni kumpa bibi harusi vyombo vya jikoni. Hiyo ndo ilikuwa lengo hasa..lakini nowdays yameongezwa na mengine yanayofaa na yasiyofaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom