brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,300
Aisee inaumizaa sana.najiwazia nnavyompenda binti yangu Mwenyezi Mungu amuongoze maana ikitokea sijui nitakachofanya.
Kama baba ulikuwa muhuni muhuni binti lazima wahuni wamfaidi au uwahi kufanya toba na maagano yasifike kizazi chako mpaka cha 4