Hivi wa baba huwa mnajisikiaje?

Hivi wa baba huwa mnajisikiaje?

Wewe unaosema hutojisika chochote ukifahamu mtoto wako wa kike wa miaka 14 labda a nafanya mapenzi na kaka wa 28 au 30 huko nakundelea?
sasa ndugu yangu...ata ukifura hasira mtoto ameshafanya mambo ya kikubwa unazani...hasira zitasaidia nini...? ndio maana nikasema kuwa nitamshauri mambo mazuri...ikiwezekana nitamkabidhi na boksi la mipira tu...maana ukimchunga sana..ataharibikiwa zaidi
 
Muda wake ushamfika, ukipambana Naye utakufa kwa pressure ...... kwanini ufe?

Kila binadamu anawazazi, lakini muda ukifika hakuna jinsi nikukubali matokeo

Jitahidi mapema namkeo kumlea vizuri kwa vigezo na maadili yote

Muda ukimfika wewe shika hamsini zako namkeo. Mwache na maisha yake.
Ni under 18 maana yake muda wake bado haujafika lakini ndio ame anza kufanya na wababa wakubwa kama wewe baba yake 😂
 
kuna video moja inasambaa mitandaoni kuna dingi mmoja mmarekani anamtwanga mikanda bint yake wa 12yrs sababu alikutwa anagegedana. Nadhani yule anawakilisha the rest of fathers
Halafu utakuta huyo baba na yeye anawafanyia hivyo watoto wa watu lakini wa kwake ohooo anaweza kuua mtu.
 
Hivi wa baba mnajisikia vipi unapofahamu mtoto wako wa kike under 18 ameanza kufanya mapenzi?Halafu a nafanya na wanaume ambao wakubwa sana kwake sio wa level yake? Huwa mnajisikia aje?
Wewe ulitaka tujisikiaje? Kama ameiva aliwe tu maana kwetu wababa ni haramu, cha maana na kikubwa achukuliwe kabisa, akaliwe vizuri huko mbele..
 
Hivi wa baba mnajisikia vipi unapofahamu mtoto wako wa kike under 18 ameanza kufanya mapenzi?Halafu a nafanya na wanaume ambao wakubwa sana kwake sio wa level yake? Huwa mnajisikia aje?
Mlee mtoto katika njia impasayo, nae hatoiacha hata akiwa mzee (MITHALI 22:6)

18yrs tayari ni mtu mzima, kama wazazi mlishidwa kumfundisha pindi akiwa mtoto basi kosa ni la wazazi na sio mtoto.
Binafsi siwezi muadhibu mtoto kwa makosa ya malezi niliyoyafanya mimi. Ila nitajitahidi nisifanye makosa katika kumlea mtoto.
 
naona unataka ujue unavyowabaka watoto wetu tunajisikiaje?utapambana na jamhuri
 
Ila tunatakiwa kujilinda na hasira za haraka. Nakumbuka hata iweje huwezi kulala na mtoto wako na lazima kuwa na mtu anayelala naye kama wewe ulivyofaidi k ya mama yake
yaani ni Mungu atunusuru na hivi vizazi vyetu tu mana ukitafakari sana hata uwe vipi mkali hata utumie mbinu ipi mtoto anazo kukuzidi
 
Mtoto yeyote a apokuwa anapitia Mapito

Changamoto zipo kwakwe na kwa wazazi

Hasira ni hasara, ukisha Kuzaa tambuwa umezaa mengi kwa mwanao awe wa kike/kiume.

Kubali matokeo, Tumia busta, mshauri na mlezi

Binti Kachomekwa mimba mathalani na mhuni flani. Ukipaniki ukamwadhibu utakosea unaweza kukosa vyote, mwanao na mjukuu au ukajikuta umefungwa. Mhudumie tu maana ndio mapito nachangamoto za maisha. Akiwa mwerevu atajifunza hatorudia, akiwa kilaza Utakoma kuletewa mimba kila wakati namimi nasema ulee tu maana wajukuu Niwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mkuu utumie busta ya nini
 
Nimependa jibu lako. Ila sie akinababa ukijua mtoto wako amebikiriwa ni majanga. Kuna ndugu yangu alimkuta jamaa anakula denda na binti yake 24 years akatenganisha kiwiliwili sasa yupo lupango na binti yake ana boyfriend mpya
Duh mkuu acha masihara bana
 
Swali zuri, nataka kujua pia na wale wazee wa "kupiga na kusepa" au "kuzalisha na kuacha" wanajisikiaje kama na watoto wao wa kike nao wanafanyiwa hayo?

Infact ni lazima wafanyiwe hayo mabinti zao,wanawaletea majanga watoto kwa makosa yao
Binti nae lazima apigwe mimba na wahuni
 
Back
Top Bottom