Hivi wa baba huwa mnajisikiaje?

Hivi wa baba huwa mnajisikiaje?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Hivi wa baba mnajisikia vipi unapofahamu mtoto wako wa kike under 18 ameanza kufanya mapenzi?Halafu a nafanya na wanaume ambao wakubwa sana kwake sio wa level yake? Huwa mnajisikia aje?
 
bado sjafikia huko nikifika naweza kua na majibu kwa wakat huo kwa wakat huu sina jibu
Nimependa jibu lako. Ila sie akinababa ukijua mtoto wako amebikiriwa ni majanga. Kuna ndugu yangu alimkuta jamaa anakula denda na binti yake 24 years akatenganisha kiwiliwili sasa yupo lupango na binti yake ana boyfriend mpya
 
Nimependa jibu lako. Ila sie akinababa ukijua mtoto wako amebikiriwa ni majanga. Kuna ndugu yangu alimkuta jamaa anakula denda na binti yake 24 years akatenganisha kiwiliwili sasa yupo lupango na binti yake ana boyfriend mpya
mh Mungu atunusuru na vizazi vyetu
 
Muda wake ushamfika, ukipambana Naye utakufa kwa pressure ...... kwanini ufe?

Kila binadamu anawazazi, lakini muda ukifika hakuna jinsi nikukubali matokeo

Jitahidi mapema namkeo kumlea vizuri kwa vigezo na maadili yote

Muda ukimfika wewe shika hamsini zako namkeo. Mwache na maisha yake.
 
Swali zuri, nataka kujua pia na wale wazee wa "kupiga na kusepa" au "kuzalisha na kuacha" wanajisikiaje kama na watoto wao wa kike nao wanafanyiwa hayo?

Huwa hawajali ... wengi wao heat and run na kuharibu maisha ya watoto wa wenzao huwa hawana akili nzuri
 
Mtoto yeyote a apokuwa anapitia Mapito

Changamoto zipo kwakwe na kwa wazazi

Hasira ni hasara, ukisha Kuzaa tambuwa umezaa mengi kwa mwanao awe wa kike/kiume.

Kubali matokeo, Tumia busta, mshauri na mlezi

Binti Kachomekwa mimba mathalani na mhuni flani. Ukipaniki ukamwadhibu utakosea unaweza kukosa vyote, mwanao na mjukuu au ukajikuta umefungwa. Mhudumie tu maana ndio mapito nachangamoto za maisha. Akiwa mwerevu atajifunza hatorudia, akiwa kilaza Utakoma kuletewa mimba kila wakati namimi nasema ulee tu maana wajukuu Niwako
 
Aisee inaumizaa sana.najiwazia nnavyompenda binti yangu Mwenyezi Mungu amuongoze maana ikitokea sijui nitakachofanya.

Changamoto zipo. Kikubwa kutokupaniki na tuelewe.... kila mzazi huumia sana sana
 
Back
Top Bottom