Hao watu Wana akili sana usifikiri WAJINGA. Ikifika uchaguzi Chama kinachosimamisha mgombea wa urais wanapewa ruzuku sio chini ya milioni 200 kwa ajili ya kampeni za urais. Wanatumia milioni 10 kwenye kampeni nyingine wanagawana wanasubiri miaka 5.Kwa Kipindi hiki Cha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ni Vyama vitatu tu ambavyo ni CCM,CHADEMA na ACT ndio naona vina pilika pilika nyingi za kuuza sera zao kwa wananchi!!
Swali la kujiuliza hivi Vyama vingine shughuli zao wanafanyia sehemu gani?,Kuna Vyama tangu uishe Uchaguzi Mkuu uliopita mpaka sasa,hawajawahi kuitisha hata mkutano mmoja kulikoni?,
Lakini Viongozi wake wengi unawaona kwenye mikutano ya Kiserikali tu!!