Hivi vijana bado mnawaza tu ndoa?

Hivi vijana bado mnawaza tu ndoa?

Shetani anapenda sana habari mbaya, na huisambaza sana ili tu kuharibu kitu chema.
 
Mleta mada ni shabiki wa liverpool, team ambayo haijashinda taji la ligi ya uingereza kwa miaka 30 na ameivumilia na kuipenda hivyohivyo. Leo anatushauri tusioe eti kisa kuna mwanamke mmoja amepanga kumuua mumewe. Double standards!
 
Mke adaiwa kula njama za kumuua mumewe

Jeshi la polisi nchini limemtia nguvuni mfanyabiashara mkoani Shinyanga Anitha Mayuma kwa tuhuma za kuandaa mauaji ya mume wake Festo Misonge ambaye alikuwa meneja wa idara ya maji wilaya ya Sikonge mkoani Tabora.

Bado tu mnaiwaza ndoa?

•Sometimes Pessimism pays
•Being Pessimistic sometimes saves your Life.

Ushauri:-
•Tafuteni Hela sanaa mle mema ya Dunia achana na Ndoa.
•Kukaa ndani na mtoto wa Mtu ni Adhabu kubwa sana.

Mwenye Macho na aone.
Mwenye Sikio na Asikie.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ebu acheni kupotosha jamii, kuna vijana humu hata reasoning hawajui, hawawezi hata kujifanyia maamuzi madogo tu, mada kama hizi unadhani zinwajengea picha gani wao kama wao.

Jamii inaharibiwa na wachache ambao wamekuwa kiumri ila kifikra bado wadogo kabisa.

Umekaa kabisa ukaandaa kichwa cha uzi, ukaanza kuweka description kuelezea jambo kama hili?? Hii inaonyesha jinsi gani ulivyo wa ajabu sijawahi kuona.

Tuhubiri mabadiliko chanya katika jamii ili kuwa mfano kwa wengine, mambo yanayotokea katika jamii yasitafsiriwe moja kwa moja kama yanavyotokea, sikuzote katika mahusiano kuna mengi nyuma ya pazia ambayo hata muandishi wa habari aliyeripoti janga hilo hajui.

Tuache kufanya vitu kwa ushabiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ndoa za zaman zilikuwa na changamoto sana isipokuwa wanawake walitambua nafasi yao na wanaume vivyohivyo....na pia wanandoa walijua kutunziana Siri tofauti na sasa,nikikumbuka Mama yangu alivyokuwa anajishusha na kumnyenyekea baba yangu huwa navaa ujasiri nakuona ndoa yangu nyeoeai kabisa nasonga mbeleeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusidanganyane mkuu, wanawake wa zamani waliwavumilia nakuwaogopa wanaume si kwa sababu walikuwa tofauti na wasasa bali kwa sababu ya mfumo dume ulikuwa mkubwa, zamani hakuna mwanamke anaweza miliki mali, halafu mtoto wa kike alikuzwa kwa ajili yakuolewa na kumnynyekea mwanaume tu, kwahiyo alikuwa akilini akijua kuwa bila mwanaume yeye hawezi ishi, hayo yote kwa sasa hamna, zama hizi ni za usawa, lakini watu wakajisahau kuwa fahali wawili hawaishi zizi moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ebu acheni kupotosha jamii, kuna vijana humu hata reasoning hawajui, hawawezi hata kujifanyia maamuzi madogo tu, mada kama hizi unadhani zinwajengea picha gani wao kama wao.

Jamii inaharibiwa na wachache ambao wamekuwa kiumri ila kifikra bado wadogo kabisa.

Umekaa kabisa ukaandaa kichwa cha uzi, ukaanza kuweka description kuelezea jambo kama hili?? Hii inaonyesha jinsi gani ulivyo wa ajabu sijawahi kuona.

Tuhubiri mabadiliko chanya katika jamii ili kuwa mfano kwa wengine, mambo yanayotokea katika jamii yasitafsiriwe moja kwa moja kama yanavyotokea, sikuzote katika mahusiano kuna mengi nyuma ya pazia ambayo hata muandishi wa habari aliyeripoti janga hilo hajui.

Tuache kufanya vitu kwa ushabiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Negativity sometimes SAVES LIFE..
Hasi muda mwengine hulipa Sanaa...

Vijana wa millennial NDOA zinawaua, imefika wakati tubadilishe mtazamo = NDOA SIO LAZIMA.

Wanandoa wengi wanaumia na NDOA zao.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ni shabiki wa liverpool, team ambayo haijashinda taji la ligi ya uingereza kwa miaka 30 na ameivumilia na kuipenda hivyohivyo. Leo anatushauri tusioe eti kisa kuna mwanamke mmoja amepanga kumuua mumewe. Double standards!
Baada ya kuvumilia muda mrefuu NDOA imeniletea UEFA, SUPER UEFA, FIFA CLUB kwa pamoja.

Ila wanandoa wengi waliovumilia wameambulia, ulemavu, vifo, emotional damage, psychological damage.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusidanganyane mkuu, wanawake wa zamani waliwavumilia nakuwaogopa wanaume si kwa sababu walikuwa tofauti na wasasa bali kwa sababu ya mfumo dume ulikuwa mkubwa, zamani hakuna mwanamke anaweza miliki mali, halafu mtoto wa kike alikuzwa kwa ajili yakuolewa na kumnynyekea mwanaume tu, kwahiyo alikuwa akilini akijua kuwa bila mwanaume yeye hawezi ishi, hayo yote kwa sasa hamna, zama hizi ni za usawa, lakini watu wakajisahau kuwa fahali wawili hawaishi zizi moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuachane na NDOA.
Tufanye mengine.

PREFERENCE CHANGE DUE TO TIME PERIOD.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwezi amini sina haraka nayo na huenda nkawa na akili kama zako lakini huna haja ya kushawishi wengine maana penye mabaya mara nyingi kuna mazuri so aliyekutana mazuri atakucheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
With regarding to law of universe.. Affecting few is a disadvantaged factor.

Vijana wengi wanalia na NDOA zao, then kwasasa is a disadvantaged factor.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom