Hivi vijana bado mnawaza tu ndoa?

Hivi vijana bado mnawaza tu ndoa?

Mume amkata shoka mkewe na kutokomea kusiko julikana..Bado TU mnawaza kuolewa?...

Dereva bodaboda na abiria wake wapata ajali na kukatwa miguu ...Bado TU mnawaza kupanda bodaboda

Mama afariki akifungua ..Bado TU mnabeba mimba?

Maswali Ni mengi ila Bado tunafanya

Sent using Jamii Forums mobile app

mambo mrembo.....nimekumbuka kitu..etiii vipi ile ishu yako na dereva bajaji imeishia wapi...etiiii umeshajifungua .....nomba kuwa God father wa mwanaoo.....

anko ake mie ....
 
Mke adaiwa kula njama za kumuua mumewe

Jeshi la polisi nchini limemtia nguvuni mfanyabiashara mkoani Shinyanga Anitha Mayuma kwa tuhuma za kuandaa mauaji ya mume wake Festo Misonge ambaye alikuwa meneja wa idara ya maji wilaya ya Sikonge mkoani Tabora.

Bado tu mnaiwaza ndoa?

•Sometimes Pessimism pays
•Being Pessimistic sometimes saves your Life.

Ushauri:-
•Tafuteni Hela sanaa mle mema ya Dunia achana na Ndoa.
•Kukaa ndani na mtoto wa Mtu ni Adhabu kubwa sana.

Mwenye Macho na aone.
Mwenye Sikio na Asikie.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikoa ya kanda ya ziwa inaongoza kwa mambo ya ajabu ajabu hapa nchini
 
Liverpool_Jr
Usihukumu kwa makosa ya wachache kama hautaki kuoa ww usioe ila usishauri wenzio wasioe huenda kwako sio muhimu ila wenzio wanaona kuna umuhimu na ulazima kwao kuoa.

Hii kusema sijui kuamini the worst will happened hakuna anaeweza predict the future mzee baba
Hatuowi tutaishia kuwagonga na kuwazalisha tu

Niga from Timbuktu
 
Mke adaiwa kula njama za kumuua mumewe

Jeshi la polisi nchini limemtia nguvuni mfanyabiashara mkoani Shinyanga Anitha Mayuma kwa tuhuma za kuandaa mauaji ya mume wake Festo Misonge ambaye alikuwa meneja wa idara ya maji wilaya ya Sikonge mkoani Tabora.

Bado tu mnaiwaza ndoa?

•Sometimes Pessimism pays
•Being Pessimistic sometimes saves your Life.

Ushauri:-
•Tafuteni Hela sanaa mle mema ya Dunia achana na Ndoa.
•Kukaa ndani na mtoto wa Mtu ni Adhabu kubwa sana.

Mwenye Macho na aone.
Mwenye Sikio na Asikie.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
KTBFFH.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetumia vizuri mkuu uhuru wako wa kutoa maoni..

Ila elewa kuwa kuna watu wamefunga ndoa kabla wewe haukzaliwa na mpaka leo wanaishi kwa furaha na upendo wote.

Hivyo siku zote katika msafara wa mamba kenge hawakosekani.

Huyo mmoja au hata wa kiwa mia hawezi kuharibu sifa njema ya wale billions of good women around the world.

Simamia imani yako mkuu ukiona kuoa kwako sio kipaumbele just live how you like.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nilipo tu natamani kuongeza ndoa ya pili..sema dini tu inakataza.

Kwa kifupi hata usemaje, vijana wataendelea kuoa na kuolewa.
Mabint wazuri wa kuolewa bado wapo weengi hivyo hivyo hata kwa vija wenye sifa za kuoa bado wapo kibaoo na hawataisha..ndoa mwanzo mwisho mpaka kihama kifike tunaambiwa Yesu atakuta watu wanaoa na kuolewa.

Ww usioe lakin.Kuoa kunahitaji mtu mwenye akili zilizotulia sana..kama una kichwa cha moto usioe.Sio kipaji.

NB
Sio lazima wote tucheze, wengine bakini washangiliaji
 
Wache waingie kwenye ndoa halafu baada ya muda waje huku kutoa Uzi wa kulalamikia ndoa yao.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom