Hivi vijana bado mnawaza tu ndoa?

Hivi vijana bado mnawaza tu ndoa?

Ndoa sio lazima ila ni muhimu.....bado watu wazuri wenye utu na wema wapo...kwaio tutaolewa tu mkuu mpka yesu arudi...

am better here
Wapo wangapi? tupe literature tukuamini unachosema[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Hata ndoa za zaman zilikuwa na changamoto sana isipokuwa wanawake walitambua nafasi yao na wanaume vivyohivyo....na pia wanandoa walijua kutunziana Siri tofauti na sasa,nikikumbuka Mama yangu alivyokuwa anajishusha na kumnyenyekea baba yangu huwa navaa ujasiri nakuona ndoa yangu nyeoeai kabisa nasonga mbeleeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Millennial marriage ni DISASTER..

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke adaiwa kula njama za kumuua mumewe

Jeshi la polisi nchini limemtia nguvuni mfanyabiashara mkoani Shinyanga Anitha Mayuma kwa tuhuma za kuandaa mauaji ya mume wake Festo Misonge ambaye alikuwa meneja wa idara ya maji wilaya ya Sikonge mkoani Tabora.

Bado tu mnaiwaza ndoa?

•Sometimes Pessimism pays
•Being Pessimistic sometimes saves your Life.

Ushauri:-
•Tafuteni Hela sanaa mle mema ya Dunia achana na Ndoa.
•Kukaa ndani na mtoto wa Mtu ni Adhabu kubwa sana.

Mwenye Macho na aone.
Mwenye Sikio na Asikie.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata watoto huwa wanafanya uhaini wa kuua baba ili warithi mali, unao ushauri gani kwa wazazi; wasizae?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom