gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,909
- 3,026
Wewe wasema...
am better here
am better here
Wanawake kama hao wapo wengi sana, wanawake wababe wasio na akili sawasawa, mwenyewe nilikua na mbabe kama huyo aise, siku moja nilimuota live kwenye ndoto ananikaba kisa sijampa hela, nikashituka usingizini ilinibidi nianze kufanya maombi baada ya siku chache, niliya shuhudia yote, mwenyewe, tangia siku hiyo akisema ndoa nilishabaki namzungushaga tu, na hakuna kuonana naye.Liverpool_Jr
Usihukumu kwa makosa ya wachache kama hautaki kuoa ww usioe ila usishauri wenzio wasioe huenda kwako sio muhimu ila wenzio wanaona kuna umuhimu na ulazima kwao kuoa.
Hii kusema sijui kuamini the worst will happened hakuna anaeweza predict the future mzee baba
Hongera, nikitaka kuoa nitakutafuta ili nisije juta[emoji6]Wewe wasema...
am better here
Mateso ya moyo ni makubwa kuliko MATESO YOOTE DUNIANI.Mume amkata shoka mkewe na kutokomea kusiko julikana..Bado TU mnawaza kuolewa?...
Dereva bodaboda na abiria wake wapata ajali na kukatwa miguu ...Bado TU mnawaza kupanda bodaboda
Mama afariki akifungua ..Bado TU mnabeba mimba?
Maswali Ni mengi ila Bado tunafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoa nomaaa..Hakika ndoa za sasa zimekua na changamoto sana, Sasa huyo mume wake alikosa nini hasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia ukauze uhai.mfano dhaifu sana , japo ni kweli ndoa kwa sasa zinachangamoto kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakwambia USIZAE..Mkuu....
Ndoa ni agano, na mauaji ni jinai.
Naona unajaribu kuchanganya mafuta na maji, na bahati mbaya haviwezi vika changanyikana.
Kama baba/mama anamuua mwanae, mbona haushangai kwanini bado watu wana zaa..!!??
Unaleta stor za ndoto zako hata bwana usiache maombiWanawake kama hao wapo wengi sana, wanawake wababe wasio na akili sawasawa, mwenyewe nilikua na mbabe kama huyo aise, siku moja nilimuota live kwenye ndoto ananikaba kisa sijampa hela, nikashituka usingizini ilinibidi nianze kufanya maombi baada ya siku chache, niliya shuhudia yote, mwenyewe, tangia siku hiyo akisema ndoa nilishabaki namzungushaga tu, na hakuna kuonana naye.
Hiyo ni physical/external damage... ila ndoa ni EMOTIONAL, INTERNAL, PSYCHOLOGICAL, FAITH DAMAGE KUBWAA SANAA.Kwa hiyo unataka kusema ukishuhudia kwa macho yako gari linapinduka na kuua watu mànake huezi kamwe kununua gari maishani mwako et?
Oa ununue KIFOWatu watazidi kuoa lakini ni kwa idadi ndogo sana ya ndoa kufungwa.
Watu wameona kuishi kinyumba na mwanamke ni bora sana kuliko kummiliki kabisa.
Hatari sana na ADUI WA MWANAUME NI MALI ZAKE,MKE WAKE NA WATOTO WAKE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kukwepa kifo.Wanawake kama hao wapo wengi sana, wanawake wababe wasio na akili sawasawa, mwenyewe nilikua na mbabe kama huyo aise, siku moja nilimuota live kwenye ndoto ananikaba kisa sijampa hela, nikashituka usingizini ilinibidi nianze kufanya maombi baada ya siku chache, niliya shuhudia yote, mwenyewe, tangia siku hiyo akisema ndoa nilishabaki namzungushaga tu, na hakuna kuonana naye.
Mwoshoni nimekwambia hayo niliyo yaota niliya shuhudia kwa macho yangu kwa huyo mwanamke.Unaleta stor za ndoto zako hata bwana usiache maombi
Mpongeze baharia kwa kukimbia kifo..Unaleta stor za ndoto zako hata bwana usiache maombi
Ndio hivyo mkuu yaani, ila haikua rahisi namshukuru Mungu kaniokoa aise. Lasivyo ningepotea kizembe zembe. Na alikua hapendi nikifanya maombi kabisa. Wanawake bwana
Hawa wanawake wachache ndio wanaoharibia wenzao.
Na habari mbaya mbaya kama hizi ndizo husambaaa sana, matokeo yake , Unaonekana wanawake woote wameharibika..
Kwa nn umeangalia mfano wa walioshondwa Kaka??? Jifunze kwa walioshinda aiseee....ndoa ni tamu sana pamoja na changamoto zilizopo akitokea wa kujishusha na wote mkaheshimiana mnafurahia sana aiseeMke adaiwa kula njama za kumuua mumewe
Jeshi la polisi nchini limemtia nguvuni mfanyabiashara mkoani Shinyanga Anitha Mayuma kwa tuhuma za kuandaa mauaji ya mume wake Festo Misonge ambaye alikuwa meneja wa idara ya maji wilaya ya Sikonge mkoani Tabora.
Bado tu mnaeaza ndoa?
•Sometimes Pessimism pays
•Being Pessimistic sometimes saves your Life.
Ushauri:-
•Tafuteni Hela sanaa mle mema ya Dunia achana na Ndoa.
•Kukaa ndani na mtoto wa Mtu ni Adhabu kubwa sana.
Mwenye Macho na aone.
Mwenye Sikio na Asikie.
#YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ndoa za zaman zilikuwa na changamoto sana isipokuwa wanawake walitambua nafasi yao na wanaume vivyohivyo....na pia wanandoa walijua kutunziana Siri tofauti na sasa,nikikumbuka Mama yangu alivyokuwa anajishusha na kumnyenyekea baba yangu huwa navaa ujasiri nakuona ndoa yangu nyeoeai kabisa nasonga mbeleeeemfano dhaifu sana , japo ni kweli ndoa kwa sasa zinachangamoto kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app