Hivi utaacha lini hiyo.................

Hivi utaacha lini hiyo.................

Tabia ya kuongea huku unakula bana utapaliwa....
 
..........kuacha kifua waz iliuwabambe waume wa wa2 kila kukicha unachange style hata siku moja husahau?siyo ishu .......
 
Tabia yako ya kukameruni watoto wa watu wakati wenye proffesional zao wapo
 
....tabia ya kumkaribisha mtu msosi wakati unajua chakula ulijipima wewe tu halafu akianza kula,unaumia rohoni?
 
Tabia ya kufumba macho ukiwa unanyonya denda
 
Acha tabia ya kujichungulia ukiwa unaoga kubwa zima hovyoo.nukta
 
Back
Top Bottom