Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,444
nyooooo, kwa jinc ulivyo mkufunzi mpaka unagombaniwa
Nani tena wananigombania?
Funguka mkuu.
nyooooo, kwa jinc ulivyo mkufunzi mpaka unagombaniwa
Nani tena wananigombania?
Funguka mkuu.
Itakuwa ashawajua,mpaka kawa Mkufunzi,
Ila mimi nina hamu ya kuwajua wanaume!!
Maana siwajui hata.
asa hv nimekua, na wanaume nawajua, mmoja wapo wewe, we c mwanaume?
Kuna mwanamama mmoja humu namchukia yaani hata siku nikikutana naye anapigana na nyoka mi nitamsaidia nyoka amuume vizuri.....
Kuna mwanamama mmoja humu namchukia yaani hata siku nikikutana naye anapigana na nyoka mi nitamsaidia nyoka amuume vizuri.....
Wewe mwanamahesabu fanya kweli muulize madame b kama ni nani kati yangu na yule bushlawyer mume wa madam? Usione aibu kumuuliza bhana.
yewi naomba tu asiwe mimi... hahahahah lol
mi sijui nikoje kwa kweli ntamchukia mtu kwa muda
halafu mimi mwenyewe ntaenda kusema tuyasuluhishe haya.
huwa sina raha kama namchukia mtu . kwa hiyo napenda kusema
ntapata hasira au kuchukia mtu kwa muda mfupi sana..
mwite aje hapa aseme mwenyewe!
AD unajua kabisa kuwa wewe siwezi kukuchukia asilani,shaka ondoa mama ila ninayemsema yumo humu na anajijua.......
Jifunze kusamehe
naelewa hilo my dear .....
ingelikuwa leo ni jumatatu ningeomba tuingie chumbani uniambie ni nani???:redface:
bahati mbaya ni jmosi ....:A S cry: lol
Wapi leo sasa..
badili avatar, avatar yako imekaa kimwanga mwanga...Mimi mmoja wapo lakini ni secret admire.
hahaha, umenyuka!Kuna mwanamama mmoja humu namchukia yaani hata siku nikikutana naye anapigana na nyoka mi nitamsaidia nyoka amuume vizuri.....
japokuwa mimi nilikuwa wa kwanza kwako kunjiua, inamaana humjui hata mwanasheria uchwara ruttashobolwa?!Itakuwa ashawajua,mpaka kawa Mkufunzi,
Ila mimi nina hamu ya kuwajua wanaume!!
Maana siwajui hata.
huwezi kuwa wewe, anajijua mwenyewe anafanana na BADILI TABIA....Najua ni mimi tu unaeniongelea.
Ila Sikutaki,