Hivi ushawahi mchukia mtu?

Kungekua na Court marshal ya Jf, kwa uzandiki wa hivi namie ndy "Mzee wa hukumu" as a Judge nakupiga kwanza miaka miwili ya uzandiki then ukitoka kesi inaanza upya!

....umetofautisha kati ya 'Kumjua' Na 'Kumfahamu'?
Mimi Siwajui bali Nawafahamu Jdgmnt.
 
mimi sio mtu wa kumchukia mtu kiurahisi, lakini katika maisha yangu yote kuna mtu mmoja tu hapa duniani namchukia na nimekua namchukia kwa zaidi ya miaka 10 na wakati mwingine hua namuota(nightmare) kuhusu yeye nimejaribu kusali nimsamehe lakini nimeshindwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom