Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,022
- 13,218
Yaani umeonana tu mtu mlisoma nae na hamjawahi kuonana takribani miaka 15, ghafla tu anakwambia mwaka huu naoa kadi yangu ya harusi hii.
Naomba namba yako nikuunge kwenye group.
Miaka yote hiyo mtu hamjawahi onana wala hamjawahi wasiliana na hakuna mazoea yoyote ila mtu anataka umchangie kisa mlisoma wote..
Halafu sio lazima kila classmate lazima mbadilishane namba, mtaongea nini?