Hivi unawezaje kuishi na watu hawa ....

Hivi unawezaje kuishi na watu hawa ....

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,417
Sisi wote ni wabongland na tabia za baadhi yetu zinajulikana hivi unaweza kuishi na watu kama hawa kama wako katika jamii inayokuzunguka kila siku ........
Kila mtu ana upeo na mawazo yake hapa..

1. Kuna wale wanafiki anakuchekea kumbe hakupendi hata kidogo anakuwazia mabaya tu
2. Msema Ovyo lolote linalokuja yeye analisema tu
3. Watu wenye wivu na maendeleo ya wengine..Ukipanda cheo matatizo,Ukinunua gari kasheshe,Ukijenga nyumba ..kesi..ukipata mtoto/watoto...matatizo
4. Wabinafsi wanaojipenda wenyewe kuliko wengine
5. Wasengenyaji..
6. Wazandiki..
8. Vizabizabina
9. Wachochezi
10.....
11......
13...
14....
15....

List inaendelea Topic endelevu
 
List inaendelea

hehehehe!
HIVI VIZABIZABINA NDO WAKOJE?
 
Nadhani FL1, wamama wanahitajika kuendeleza hii thread!!!
sisi mambo ya umbea, sijui zabizabina hatujui bana!!
 
Hawa katika maisha yetu ya kila siku hawakwepeki lazima wapo.
Kama binadamu wenye akili timamu lazima utakumbana nao labda uwe kichaa ndo watakukwepa.
Cha msingi ni kuvumilia tu huna jinsi ww ni binadamu.
 
Nadhani FL1, wamama wanahitajika kuendeleza hii thread!!!
sisi mambo ya umbea, sijui zabizabina hatujui bana!!

hahaha Bigirita wenye wivu na maendeleo yako ...unaishi nao vip?
 
FL1, Hayo yote ni mapito ya dunia hii na mengine mengi mazuri kwa mabaya !!! katika jamii tunamoishi kuna watu wenye tabia tofauti sana.. nzuri na mbaya.. Na wengi wetu hatupendi mabaya, so ni kujaribu kuepukana nayo tuu.
 
Huwezi kuwaepuka hao watu kwani ndio jamii yetu imeundwa hivyo.njia nzuri ya kujiepusha nao wapuuze na endelea na shughuri zako.
 
The simplest thing to do is just taking them as a challenge!..
Pamoja na manenoneno yao, mwisho wa siku wanakupa changamoto maishani...u get to know how to combat them, and be a better person!
 
Sisi wote ni wabongland na tabia za baadhi yetu zinajulikana hivi unaweza kuishi na watu kama hawa kama wako katika jamii inayokuzunguka kila siku ........
Kila mtu ana upeo na mawazo yake hapa..

1. Kuna wale wanafiki anakuchekea kumbe hakupendi hata kidogo anakuwazia mabaya tu
2. Msema Ovyo lolote linalokuja yeye analisema tu
3. Watu wenye wivu na maendeleo ya wengine..Ukipanda cheo matatizo,Ukinunua gari kasheshe,Ukijenga nyumba ..kesi..ukipata mtoto/watoto...matatizo
4. Wabinafsi wanaojipenda wenyewe kuliko wengine
5. Wasengenyaji..
6. Wazandiki..
8. Vizabizabina
9. Wachochezi
10.....
11......
13...
14....
15....

List inaendelea Topic endelevu

nikisoma kati kati ya mistari, naona umeamua kuwapiga madongo wanasiasa indairekti leo heeehhehe usiwape kura bana!
 
Hivi mbona sioni kidude cha thanx kimeenda wapi waka cha ku-Quote????????????????
 
nikisoma kati kati ya mistari, naona umeamua kuwapiga madongo wanasiasa indairekti leo heeehhehe usiwape kura bana!

hahahah umeanza vituko vywako Kijana ... na wao pia wako kwenye List hiyo
 
Katika maisha unakutana na watu wa aina mbali mbali wakiwemo hao uliowataja, ila ni rahisi kuwagundua maana hawajifichi hata kama atakuchekea, kicheko chake si cha furaha bali unafiki. Uvumilivu ndio suluhisho pekee na usimshirikishe mambo yako ili azidi kuumizwa na maendeleo yako.
 
Ukisha elewa tabia za watu wala hawakupi tabu kuishi nao! na kama alivyosema Wenger jamii yetu ndio imeundwa na watu hawa so huwezi kuwaepuka maana wamo hata ndani ya familia zetu wenyewe yaani tuko nao katika maisha yetu ya kila siku! Cha msing i ni wewe kuishi maisha yako, ishi the way life suit you to live and live to suit others interest! ukiangalia watu wanafanya nini au wansema nini utakuwa hauishi maisha yako bali utakuwa unaishi maisha yao, na mwisho wa siku you will end up hurt own feelings!
 
Nadhani FL1, wamama wanahitajika kuendeleza hii thread!!!
sisi mambo ya umbea, sijui zabizabina hatujui bana!!

tena nyie mnakuwaga wabaya sana kwenye hizi maneno
ukimkutana man mbeya dah unaskia kichefuchefu kabisaaaaaaaa
 
Sisi wote ni wabongland na tabia za baadhi yetu zinajulikana hivi unaweza kuishi na watu kama hawa kama wako katika jamii inayokuzunguka kila siku ........
Kila mtu ana upeo na mawazo yake hapa..

1. Kuna wale wanafiki anakuchekea kumbe hakupendi hata kidogo anakuwazia mabaya tu
2. Msema Ovyo lolote linalokuja yeye analisema tu
3. Watu wenye wivu na maendeleo ya wengine..Ukipanda cheo matatizo,Ukinunua gari kasheshe,Ukijenga nyumba ..kesi..ukipata mtoto/watoto...matatizo
4. Wabinafsi wanaojipenda wenyewe kuliko wengine
5. Wasengenyaji..
6. Wazandiki..
8. Vizabizabina
9. Wachochezi
10.....
11......
13...
14....
15....

List inaendelea Topic endelevu

God inspired me,Do not seek any perfect trust of the people and do not depend on them for they will perish you.......'' Bahaeddin al Balkh (Maarif I/360)
 
Back
Top Bottom