Hivi unaweza kumuoa rafiki yako?

Hivi unaweza kumuoa rafiki yako?

Lugha ya bwana harusi bwana,sipati picha siku ya harusi mc kampa mic....
 
Dah kuna mademu wengine wanangu sana yani dah hawanipingi kivyovyote watawapinga mabasha zao ila kwangu hawapindui.

Yani nachokubali wapo real naweza nikawa na shida hata ya kifedha nikawachalazia wao badala ya wanangu wa kiume maana wengi ma snich ,nikiwachalazia mademu watanitumia tu ila wanangu wa kiume wengine kipengele.

Hiyo siyo, kesi hasa hao mademu tumezoeana kiasi kwamba hata kutiana kwetu ni jambo la kawaida tu japo wao wana mabwana zao na mimi muda mwingine nakuwa na mademu zangu na nawatambulisha baadhi .

Sasa marafiki kama hawa wa kufa na kuzikana mnaweza mkawaoa?
Kiufupi wewe ni kiben10, unapenda kulelewa
 
Si umesema washaolewa tayari? Unataka uwaoe kwa mara ya pili?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom