Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

- Sijakuelewa unachosema Fred ni mfanyabisahara wa siku nyingi sana mimi ni Baharia, sasa tunakuaje sawa kiuchumi, nina marafiki wengi sana hapa mjini niliokuwa nao ambao toka zamani ni wafanya biashara sifanani nao, my super best friend anamiliki ile Mall pale karibu na Mwalimu Msasani, na baba yake sio kiongozi ila yeye toka zamani ni mfanya biashara,

- Mambo unayoyataka kuyasema bila usahhidi ni majungu at best bro!!

le mutuz

Haya bwana le mutuz endelea kuwa msaarabu lakini wajua ukweli wote ukoje na mitaji hiyo ya biashara ilipatikana vipi na opportunities zilipatikana vipi!! Take care bro!
 
Unatujaribu, sio????

Kwa ufupi sana niseme hivi,; kama wewe huoni tofauti baina yao basi hata tukikwambia hutajua.
Sana sana mi nadhani wewe uko hapa kumkosha Prince Riz na pengine uko kwenye payroll ya Lumumba.
 
mutuz kama kawaida ya kujikomba,usiwe na wasiwasi ridhiwani atakupa something ...ukuu wa wilaya au ukuu wa mkoa.maana naona umeamua kuwa mwanasheria wake,tofauti ya ridhiwani na makongoro ni baba zao kwanza,nyerere alikuwa kiongozi muadirifu na kikwete ni kiongozi mwizi....sasa watoto wao nao ni hivyo hivyo

- HA! ha! ha! ha! ha! nikiwa na mawazo tofauti na yako ninajikomba, ndio manafukuzana sana huko maana yoyote asiye na mawazo kama yenu hafai na anajikomba, sawa sawa umesikika!! ha! ha!

le mutuz
 
Unatujaribu, sio????

Kwa ufupi sana niseme hivi,; kama wewe huoni tofauti baina yao basi hata tukikwambia hutajua.
Sana sana mi nadhani wewe uko hapa kumkosha Prince Riz na pengine uko kwenye payroll ya Lumumba.

- Kazi yenu kuharibu majina ya watu kwa sababu ya wivu na hasira za maisha, hapa mjini Wanasheria wote wanakula kuku, mimi nina mshikaji wangu ni Mwanasheria wa IPP kijana mdogo sana I mean yupo vizuri sana na baba yake sio Rais, mnasema maneno mengi yasiyo na hata commonsense, kwamba Ridhiwani amempa Davis mali zake, leo Ridhiwani anaendesha gari la Shillingi Millioni 10 na huku Davis anaendesha Lambogirn ya Shillingi Billioni Moja na Nusu, sasa mwenye mali Ridhiwani anamuangalia tu akichoma mali zake na kwamba kuna siku Davis atamrudishia Ridhiwani mali zake,

- I mean a great Thinker unaweza kutoa theory za kusadikika kama hizi mbele ya Great Thinkers wengine na unakubaliwa kwamba unaongea hoja, inasikitisha sana!!

uwezi kuwa na urafiki na mwanasheria wa ukweli maana maji ufuata mkondo kama Ipp wanamwanasheria rafiki yako basi atakuwa bogus kama wewe duh mengi kaumia
 
- Kazi yenu kuharibu majina ya watu kwa sababu ya wivu na hasira za maisha, hapa mjini Wanasheria wote wanakula kuku, mimi nina mshikaji wangu ni Mwanasheria wa IPP kijana mdogo sana I mean yupo vizuri sana na baba yake sio Rais, mnasema maneno mengi yasiyo na hata commonsense, kwamba Ridhiwani amempa Davis mali zake, leo Ridhiwani anaendesha gari la Shillingi Millioni 10 na huku Davis anaendesha Lambogirn ya Shillingi Billioni Moja na Nusu, sasa mwenye mali Ridhiwani anamuangalia tu akichoma mali zake na kwamba kuna siku Davis atamrudishia Ridhiwani mali zake,

- I mean a great Thinker unaweza kutoa theory za kusadikika kama hizi mbele ya Great Thinkers wengine na unakubaliwa kwamba unaongea hoja, inasikitisha sana!!

le mutuz

Mkuu vipi? Tangu Mama apigwe Chini UWT sijamsikia kabisa yuko Tanzania hii kweli?
 
anyway sijui kama umenielewa huwez ukalinganisha ufaulu ama uelewa wa wanafunzi kwenye masomo mawili tofauti hata siku moja.. hili ni kosa na ndio maana waliosoma ualimu labda wanaweza kukuelewesha zaid kwamba ni 2 un comparable items. like wise kulinganisha watu 2 tofauti ambaoa hawako kwenye era moja, na wamekulia tofauti na kukutanishwa na entity moja tu ya utoto wa rais its bogus idea.
misukile yake yote
Riziwani na Makongoro like father like son, riziwani ni fisadi kama babake na Makongoro ni muungwana kama baba yake. Lakini iku siku riziwani atatapishwa misukule yake yote.
 
Le mutuz utakuwa umepigika mbaya,unamfagilia Riz akuite akupe chochote utinge kwa macheni.WATOTO WENGINE WA VIGOGO WAPO CCM MAKAO MAKUU KILICHOKUCHELEWESHA WEWE NI BIASHARA YA KARANGA PALE new york so unajibaraguza kwao late.
 
maneno ya msanii wa hiphop roma mkatoliki anayosema "ridhwani hafanan na makongoro..... Uchafu wa mrisho unamfanya benja awe msafi"...
 
kila tu anazaliwa na sifa zake na tabia zake ingawa zipo tabia zile za kuijifunza kutoka katika jamii unayoishi. kwangu mm kuwafananisha makongoro na ridhiwani ni sawa na kufananisha masomo mawili tofauti like bioliogy na history.

mkuu umenena,kwanza hamtendei haki makongoro riz1 c level yake
 
- makongoro ni soldier na mbunge wa eac, ridhiwani ni mwanasheria wa binafsi na mjumbe wa ne/cccm -taifa, kila mmoja ana mke na watoto, kiuchumi mwanajeshi hawezi kuwa sawa na mwanasheria wa kujitegemea.

Le mutuz

karibu uganda, uone tofauti ya wanajeshi na wanasheria!
 
Huyu Le Mutuz ni limbukeni. Angalia majibu yake ni ya kijuha. Kila kitu anzungumzia Washikaji zake kuwa wako sawa. Hapa tuzungumzie issues na kutaja kuwa Mshikaji wangu anamiliki Mall au ni Mwanasheria wa IPP. Inahusiana nini na unachoulizwa?
 
Kweli le mutuz kazi ipo(imbombo ngafu) hivi NY alikuwa anafanya nini? Afadhali amerudi nadhani angeendelea kuishi huko angekula shaba kwa akili hii
 
Back
Top Bottom