Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

Hiyo ni sawa na kulinganisha malaika(MAKONGORO) na IBILISI MKUU (RIZI ONE).You cant compare JIZI ONE(RIDHIWANI) with Makongoro Nyerere

Jamani utajiri sio dhambi bali ni baraka. Baba yake riz-1 aligawa yale mabilioni ya Kkwt kwa kila fukara wa Tanzania wengine wakanywea pombe au ipele. Lakini riz aka-invest.
 
Ridhi 1 hata ukilinganisha na jiwe,jiwe litaibuka na ushindi wa maadili na uzalendo na nchi yake
 
watu wanamshangaa bure rizone kuwa mwizi..kwa wanaomjua mtoto mwengine wa Jk anaeitwa Miraji huyu havuti tu huo unga lkn hana tofauti na mteja wa unga.dogo anaiba briefcase ya mshua wake imejaa dollars halafu anapitia masela wake haooo wanajikataa zao Dubai kula bata na shoping ya blackberry kila mmoja haupiti hata mwezi unamkuta mitaani nguo zimejikunja anashinda tu maskani anaogopa kwenda kwao...Nnachoshangaa mm inakuaje Jk anakuwa na briefcase iliojaa dollars home!!??manaake alishawahi kuiba pesa cash yenye thamani ya sh 250 million na hii sio mara ya kwanza wala ya pili..KWAHIO HAWA WIZI NI ASILI YAO JK MWIZI,RIZONE MWIZI NA MIRAJI PIA MWIZI
 
watu wanamshangaa bure rizone kuwa mwizi..kwa wanaomjua mtoto mwengine wa Jk anaeitwa Miraji huyu havuti tu huo unga lkn hana tofauti na mteja wa unga.dogo anaiba briefcase ya mshua wake imejaa dollars halafu anapitia masela wake haooo wanajikataa zao Dubai kula bata na shoping ya blackberry kila mmoja haupiti hata mwezi unamkuta mitaani nguo zimejikunja anashinda tu maskani anaogopa kwenda kwao...Nnachoshangaa mm inakuaje Jk anakuwa na briefcase iliojaa dollars home!!??manaake alishawahi kuiba pesa cash yenye thamani ya sh 250 million na hii sio mara ya kwanza wala ya pili..KWAHIO HAWA WIZI NI ASILI YAO JK MWIZI,RIZONE MWIZI NA MIRAJI PIA MWIZI <STRONG></STRONG>
 
Leo ni siku ya kumbukumbu ya hayati baba yetu mpendwa wetu mzee wetu babu yetu mwl Jk Nyerere nilikuwa home asubuhi najaribu kutafakari na kupitia vitabu alivyoandika Mwl Nyerere nikiwa nasoma kuna wazo likanijia eti jamani tukisema tuwalinganishe watoto wa marais wetu wote waliopita.

Je utakuta watoto wa rais gani watakuwa bado ni watu wa kawaida na wazalendo wa kuipenda nchi na watanzania wote. Nikatamani nimlinganishe Ridhi one Kikwete na Makongoro Nyerere ni yupi ambaye anaweza kuwa na maadili ya kuipenda nchi yake kwa maana ya kujilimbikizia mali na kujivunia cheo cha wazazi wao.

Kwanini Makongoro na Ridhiwani? Kwanini isiwe Anna Nyerere na Salama Kikwete?(hv ni Anna ama Rosemary?)
 
hawawezi lingana..mmoja mtoto wa mpigania uhuru na ukombozi Afrika na mwingine ni mtoto wa mzururaji
 
Makongoro shujaa na ana uthubutu alishawahi kuwa mbunge a.town- nccr. SASA HUYU RIDHIWANI MNAFIKI, MDINI, MKABILA, MBAGUZI, TOTO FISADI ANATUMIA MGONGO WA BABAYE KUJIONA KUJINUFAISHA NA SIASA ZAKE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII WAPI NA WAPI. RIZI1 NI BONGE LA KILAZA.
kweli jamaa ni bonge la kilaza hata ukisikia commenta zake unamjua ni mtu wa namna gani,wewe subiri tu muda unakuja
 
Iinauma sana nikifikiria!! nilale kesho nipate nguvu za kwenda kuchimba mihogo yangu vinginevyo tutalia namafisadi kumbe hata sisi hatuna jitihada!
 
Mwl alikataa kata watoto wake wasiingie kwenye System ndo maana hadi leo hawana pa kushika, wanafedha za kuendesha maisha tu. Nadhani mwl alijua akiwaruhusu wachangamkie dili wangemharibia. Sasa Vasco amemruhusu Riz kuingia kwenye system na amekwapua mihela kweli kweli, kila kona dogo amedominate ila siku zaja atafanywa kama watoto wa Gaddafi.
Amekabidhiwa fungu ili aandae RAIS wa nchi kupitia CCM.
 
watu wanamshangaa bure rizone kuwa mwizi..kwa wanaomjua mtoto mwengine wa Jk anaeitwa Miraji huyu havuti tu huo unga lkn hana tofauti na mteja wa unga.dogo anaiba briefcase ya mshua wake imejaa dollars halafu anapitia masela wake haooo wanajikataa zao Dubai kula bata na shoping ya blackberry kila mmoja haupiti hata mwezi unamkuta mitaani nguo zimejikunja anashinda tu maskani anaogopa kwenda kwao...Nnachoshangaa mm inakuaje Jk anakuwa na briefcase iliojaa dollars home!!??manaake alishawahi kuiba pesa cash yenye thamani ya sh 250 million na hii sio mara ya kwanza wala ya pili..KWAHIO HAWA WIZI NI ASILI YAO JK MWIZI,RIZONE MWIZI NA MIRAJI PIA MWIZI
Ayaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kumbe vijamaa vijizi.
 
Umetoa tofauti za kimasaburi na sio za kushirisha ubongo

ntajie za ubongo
unless hizo si tofau,,,,then uniambie mtoa mada ame-specify tofaut gani???ndio maana mwisho nikasema uendelee,,,,,,,,,wewe unaeshirikisha makalio ongeza
 
Ebu tafadhari tutajie anamiliki mali kiasi gani na ziko wapi? tunaweza kusaidia katika kugawana naye kwani najua atakuwa amechukua excess kutoka kwetu
 
Back
Top Bottom