mwanaume na mwanamke wakilala chumba kimoja tena kitanda kimoja inahesabika kuwa wana mahusiano. Ikiwa mwanamke anaona anapitia manyanyaso ya kingono kutoka kwa mumewe basi aivunje ndoa. Mahakama haiwezi kumfunga mtu kisa alikuwa anamlazimisha mkewe kufanya mapenzi? Je,ikiwa huyo mwanamke nae alikuwa anamnyima unyumba huyo mwanaume? Mume na mke ni tendo la ndoa mwanawane.
Nivunje vunje unimeze!Shauri yako wazee tutakubemenda!
Sio ukuni wa kuwashia moto wa kupikia, ni ukuni wa kuwashia moto ule mwingine😃 violence its not allowed siyo kuku huyu
Ila jokes aside haya mambo yanatokea kweli?Au siyo
Ndio ndio.Tajiri mkeo, ukimuomba mlale, akakataa ukalazimisha unakuwa umetenda kosa la kubaka. Na adhabu yake ni miaka 30 na kazi ngumu au viboko, au vyote kwa pamoja. 😊
Hakikisha mkeo anakuruhusu kwa ridhaa yake.
eeh sasa anashindwaje kumuacha mume wake wakati yeye anabakwa? au sio independent woman huyoJuzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka.
Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao.
Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia hapana, basi mume huyo huwa anamkamata kwa nguvu na kumwingilia kwa nguvu na kwa ukatili wa hali ya juu.
Sasa mke kachoka, anataka kumshitaki mume wake. Wazo lake la kwanza, la pili anawaza kuachana naye, na anasema anashindwa kuamua which is which.
Jamii itamwonaje au wazazi wake atawaambiaje kuwa mume wake huwa anambaka? Everything is confusing.
We mubaba upo? 😍😍eeh sasa anashindwaje kumuacha mume wake wakati yeye anabakwa? au sio independent woman huyo
kwendraaaaa zako huko mbona ata pm sijakuta meseji yako kama kweli umenimiss. uwongo tuu umekujaa kama yalivyojaa matiti yako hahahahhaWe mubaba upo? 😍😍
Yani nilivyokumiss mzabzab jamani..!!
Nani alikuficha Mr kibamia?
Mi nahangaika kupiga kelele humu nikajua wauaji wa samuya waliku kill 😥
Akibakwa kuna madhara anapata? Au anamnyima kwa gubu lake tu.Juzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka.
Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao.
Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia hapana, basi mume huyo huwa anamkamata kwa nguvu na kumwingilia kwa nguvu na kwa ukatili wa hali ya juu.
Sasa mke kachoka, anataka kumshitaki mume wake. Wazo lake la kwanza, la pili anawaza kuachana naye, na anasema anashindwa kuamua which is which.
Jamii itamwonaje au wazazi wake atawaambiaje kuwa mume wake huwa anambaka? Everything is confusing.
Hujapata notification zangu? 😥kwendraaaaa zako huko mbona ata pm sijakuta meseji yako kama kweli umenimiss. uwongo tuu umekujaa kama yalivyojaa matiti yako hahahahha
mwenzio nilikuwa napambania maisha icu wewe uananyonyesha tuu mandsome boy.
kwema lakini mrembo mwenye titi lake....kesho napita hapo kkooo nikupe hi mlimbwende wangu