Hivi unashabikiaje Konde Gang?

Jina hili linawagawa mashabiki, alie/walio mshauri alitumie hawampendi jamaa huyu, bila shaka ni wamakonde wenzake!! '' kina somo ntonto wa nkuu wa nkoa wa ntwara!!
 
Watu wa aina yako ndio mnarudisha maendeleo nyuma, unashabikiaje label badala ya kile wanachokiimba? Uligraduate memkwa kweli?
 
Hakuna ukabira wowote kwenye hii label tizama aina ya wasanii waliomo ndani ya label je? wote ni wamakonde? Ni bora huyu mzale kuliko wale wazungu fake
 
Hivi unashabikiaje Konde Gang wakati wewe ni kabila tofauti na hilo Means hata kabila lako ulikubalii

Then Me naona Jina Konde limekaa kikabila mno no swag at all

Konde Gang ni special kwa Wamakonde tuu
Branding ni tatizo sana Bongo. Hii ni taaluma lkn watu wadhani unaweza kuibuka na jina tuu ukatupa kwenye biashara.
 
Konde music worldwide.. worldwide!
Nyakyusa music worldwide.. worldwide!
Chaga music worldwide.. worldwide!
Zaramo music worldwide.. worldwide!
Maasai music worldwide.. worldwide!

So what's the difference?
Ni label ya Wamakonde tu hata kama wana msanii ambaye si Mmakonde lakini Umakonde ndiyo msingi wake.
 
Wakianza ishi maisha yao.. Hakika watafika mbali..
Shida yao wanakopi ...

Cheki sasa wanavyoumbuka...
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Ni label ya Wamakonde na ndiyo maana imechukua jina la kabila.
Mfano kuwe na:
-Kurya gang
-Zaramo gang
-Nyakyusa gang
-Masai gang
And so on and so forth.
Kwa wale wakongwe, wanajua kulikua na baathi ya band za muziki zilikua zinatambuka kwa majina ya mikoa, lakini sisi walaji tulikua hatuangalii jina, bali burudani. Mfano: Dar Jazz AKA, majini wa Bahari, Tabora Jazz, Moro Jazz, Mitonga Jazz, Amboni Jazz na band zingine.
Ajabu kijana wa kisasa unaangalia ukabila kwenye burudani, sipati picha maeneo mengine ukoje kwa ubaguzi.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom