Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,737
Umeshabadili ID yako inayojulikana na mwana JF fulani. Ukafungua ID nyingine akaja akakutongoza.

Wewe unamjua yeye anadhani ni member mpya au mwingine.

Unamalizanaje naye.....unamkwepa? unamuignore au unaenda naye hadi mwisho?
 
Back
Top Bottom