Hivi unafurahia!!??!..

Hivi unafurahia!!??!..

Status
Not open for further replies.

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
215149_191501574244032_100001525728048_539325_166819_n.jpg


Wanajifunza nini kutoka kwetu??

"AMa HAKIKA NI ULEVI NOMA..MZAZI HUONI MTOTO ANAPOHARIBIKIWA"
 
Atakuwa mlipa kodi mzuri sana akikua.
 
Spatii picha ya mdingi ake yukoje! tAFADHARI nsaidie kumpata mpanda mbengu wa hiki kiumbe levi kiasi hiki!
 
dogo akikua atakuwa chapombe kweli kweli.
 
masikini haki ya watoto iko wapi??? hata kama kawekewa tu labda yeye hajanywa anafundishwa nini??? wazazi wengine bana hovyooo kbs
 
Sio kwamba hiyo castle lager iliwekwa dogo baada ya kulala ili wapate picha kwa matumizi binafsi km ulivyoiweka hapa?
 
MOD Be aware na haki za watoto.

Hii picha sidhani kama inaruhusiwa
 
Dunia imekwisha kama na malaika wa Mungu wanapewa pombe angalia sana mtadaiwa nafsi zao watoto kama hao.Ila sitaki kuamini kama ni kweli hajawekewa alafum picha ikapigwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom