Hivi unadhani mimi sitongozwi....

Hivi unadhani mimi sitongozwi....

Inamaana umemshusha sana hadhi kwa kutomjali au kumthamini ilihali we mwenyewe haushikiki kiuchepukaji.

So anaona aanze mapema kukutahadharisha kuwa bado atavutia wengine ili urudi kwenye reli kabla hajaanza kukulipizia la sivyo usije kumlaumu akija kuamua lolote ataloona ni sahihi kwake kufanya ili alipize kisasi(akukomoe).

Uzi ufungwe mkuu kamaliza kila kitu
 
Kawaida tu mkeo ndiyo mchepuko wangu na mkewangu ndiyo mchepuko wako hi ipo Tanzania tu.
 
Anakutishia
Anakujaribu
Anajionyesha kwamba mda wowote anaweza kukuacha
Humbabaishi
Defense mechanism
Physiological torture
Mapenz yamepungua
There is possibilities huyo ni who're


Unajua unatakiwa kufanya nini kuchukua pts tatu muhimu kubadili mchezo?

I'm alcoholic but I have a brain super duper brain
diffence mechanism...psychological torture...over
 
Mimi akiniambia hivyo, nabaki nasubiria na kuvizia kosa lolote atakalofanya namuacha namwambia aende kwa wanaomtongoza akawakubalie tu.

Maana hiyo kauli huwa ni alarm.
 
Kwamba Angalia matendo yako hata yeye anaweza kuwakubali ni vile anajiheshimu na kukuheshimu sana



Cc Smart911
 
Mimi huwa naanza kupunguza asilimia za kumuweka akirini. Niliwahi kuvunja mahusiano.kama Mara kumi hivi kwa kauli za namna hii. Huwa najua kutombwa nje hakuzuiliki endapo mtu kaamua ila hakikisha sijui na usiniletee nyondo.
Co kukuletea nyodo Kuna mnakera had mtu anaona akuchane t maana Mambo mnayofny mnahc km huyu mwanamke hawez fny chochote
 
Demu akikwambia hiyo kauli asee anza kutumia kinga haraka
 
Back
Top Bottom