DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,002
- 30,892
Manzi : Hey, do i know you ?sasa kuna wale wa
"One in a million"
anaweza kukujibu
bila kujali hayo yote
ushakutana na zile
unasalimia tu unaulizwa
"Hey do i know you?"
Cepha, historia inajirudia ila inajirudia mbaya inakupunguzia kujiaminiMkuu, si huwa wanasema HISTORY REPEATS ITSELF.
Hajaniambia. Basi tubaki tu mi na wewe. Sasa nione mtu anakuita bby ntapambana.Haya nafikir mmesikia nyie ohoo mkae mbali bby anakereka.
Yule kashaoa hakukuambia kwani
Ha ha ha ha kuwekwa kwenye rejected list stak aiseeBoss inabidi uombe
changamoto moja
ujaribu kuikabili
Wala usipambane nao.. mimi na wewe tuombe kwa mungu tuyashinde majaribu ya namna hii maana tutayashinda kwa jina lake.Hajaniambia. Basi tubaki tu mi na wewe. Sasa nione mtu anakuita bby ntapambana.
Kupata #, mwambie naazima simu yako, kuna # nataka niikopi one time.Now days salamu no longer tatizo. Ishu #
Kwa kweliiiCepha, historia inajirudia ila inajirudia mbaya inakupunguzia kujiamini
Aiseee kujiongeza kuna kuja kwa kasi miaka hii.Ha ha ha ha kuwekwa kwenye rejected list stak aisee
Kwanza nmesahau kutongoza watu wanajiongeza
Wengine hawaingiliki kwa namna hiyo mtu wa kukupatia simu yake tayari mnafahamiana japo kidogKupata #, mwambie naazima simu yako, kuna # nataka niikopi one time.
Kwann muanze kusumbuana Wakat mnajua kabisa Lengo lenu ni lipAiseee kujiongeza kuna kuja kwa kasi miaka hii.
Kwanza mtakuwa unapoteza muda kufanya shughuli za uzalishaji.Kwann muanze kusumbuana Wakat mnajua kabisa Lengo lenu ni lip
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]Wengine majirani mama....
Ila wivu wako umepitiliza hata salamu nisitoe kweli? 5
Unawaita wanawake wenzio me mfanye nini uzi wa wanaume huu... jileteni mtongozwee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]
Cc:espy
Husna muba
Kasie
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ohoooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hajaniambia. Basi tubaki tu mi na wewe. Sasa nione mtu anakuita bby ntapambana.
Ndio kujiongeza tunakosema huko mkuu, wacha waitane [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unawaita wanawake wenzio me mfanye nini uzi wa wanaume huu... jileteni mtongozwee
Kutukanwa kwenye utongozaji, inategemea na saikolojia yako umeijengaje katika masuala hayo.Mimi style yangu yangu ya kutongoza siwezi kutoswa kwa aina yoyote. Ni kama unamuongoza kuku kwenye banda lake.....anaweza kufika karibu na banda asiingie mlangoni akakimbilia jalalani kupekua sasa hapo unaweza kumfuata umuongoze tena aingie bandani au umuache alale nje aliwe ns mapakashume.
Ukitumia style hii hayakukuti hayo.
[emoji134]Wala usipambane nao.. mimi na wewe tuombe kwa mungu tuyashinde majaribu ya namna hii maana tutayashinda kwa jina lake.