Hivi Umalaya ni nini?

Pointing some body ndio maana yake ...

Haya. Nmeelewa kumbe.


Kila mtu anamsema mwenzake malaya na unayemuona malaya nae anamuona mwingine ambae naye anamalaya wako....mwisho mnajikuta wote mpo
 
Mwanamke anayegawa hovyo papuchi,anayelipwa ni chagudoa.Hakuna mwanaume malaya bali ni muhuni
 
Swali zuri sana. Unaweza kuandika kitabu cha volume 3 zenye kurasa 2,000 kila moja.
Kwa wanawake: whore, harlot, street walker, escort, call girl...etc
Wanaume: gigolo, au male escort.

NB: Lakini tusisahau wale wake za watu wanaoficha bakuli za pilau ndani ya kanga au bibui kupeleka kwa hawara zao.
 
Sifa chache na kuu za mtu malaya
1. Anapenda ngono kila mara na yeye hachagui ni nani afanye nae nani asifanye nae..
2. Lugha/ matamshi.. ukikutana na mwanamke malaya hata jinsi wanavyo ongea unaweza ziba masikio.. hawana soni hawa popote yoyote atakuropokea tusi au kukudhalirisha wazi wazi bila kujali upo wapi?upo na nani...
3. Siamini sana kwenye mavazi Ila, kuna kipindi unaweza kutana na mwanamke mchana kweupe alivyo vaa mpaka una jiuliza huyu ndio ana aamkaaaa au ndio ana jiandaa kulala... wana zurura na night dress hawa mtaani , they don't care... aibu kwao ni 'F'. Hii inanifanya niamini watu was namna hii malaya tu.


Mwisho: malaya ni mtu anae penda sanaaaa ngono kupita kiasi na huifanya mara kwa mara na kwa yotote yule bila kujali chochote kile apewe hela asipewe yeye atafanya tu...


Kuna tofauti kati ya malaya na kahaba...

Kahaba hufanya ngono kama biashara , bila kukubaliana nae malipo utakula kwa macho tu ZIGO hilo... na wako serious ni kazi yao na wana jali muda kama unavyo jali muda wako wewe wa kwenda kazini... ndio wale insta utaona leo ame chukua pipa ana kwenda zake dubai,kesho nigeria kesho kutwa south mtondo USA ukija kushituka yupo bongo... they are export pussy with very high prices...

Malaya sasa, yeye hana muda na hela uupe sawa usi mpe potelea mbali... maadam kaisha fanya karidhika.. tuta kutana kesho endapo jaaliwa na atafanya tena... na hawana msimamo wepesi sana kuwachezea akili zao.. wana danganyika na vitu vyaki puuzi sana either; bia,soda,chakula,vocha,sms za mahaba, kupigiwa simu nika mara ndio ana dhani ame thaminiwa... generally wana pagawa na vitu vyaki puuzi puuzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…