Kwa hiyo kiongozi kwa wale ambao wanataka yao yaende/yanyooke wakitoa penzi ili malengo yao yatimie hawa si 'Malaya'???Malaya ni yule anayetoa penzi kwa mtu yeyote bila kutegemea hisani yeyote kutoka kwa Mwanaume/Mwanamke aliyempa penzi na mara nyingi watu wa hivi huwa ni watu wa kawaida kama walivyo watu wengine utakuta wameolewa na wanakazi zao au wanafunzi wa secondary vyuo pamoja na shughuli nyingine kwa kifupi huwa ni watu rahisi sana yaani ukimtaka tu hakatai watu wa dizaini hii ndio malaya
Aisee hapa umeonyesha ni yule mwanamke ambae hawezi kukataa. Na mwanaume ambae hachagui yeye ilimradi kaona mwanamke..! Vp mwenye uwezo kukataa na kuchagua,mfano ametongozwa na wanaume 20 kwa mwezi,akawakataa 16,lkn wanne akawapa na mwanaume anayechagua kwa mwezi awafunue wanne vp hao siyo malaya??Malaya ni yule anayetoa penzi kwa mtu yeyote bila kutegemea hisani yeyote kutoka kwa Mwanaume/Mwanamke aliyempa penzi na mara nyingi watu wa hivi huwa ni watu wa kawaida kama walivyo watu wengine utakuta wameolewa na wanakazi zao au wanafunzi wa secondary vyuo pamoja na shughuli nyingine kwa kifupi huwa ni watu rahisi sana yaani ukimtaka tu hakatai watu wa dizaini hii ndio malaya
kama hajakuelewa kuna ila spanner malaya nayo inafit kila bolt and nut!Funguo malaya ni funguo inayofungua kila kufuli
so unaweza jaribu ku connect dots
Hapana mkuu huyo hutomwita malaya maana huyo anaetoa penzi mara kwa mara ili apate kitu fulani huitwa kahaba..Kwa hiyo kiongozi kwa wale ambao wanataka yao yaende/yanyooke wakitoa penzi ili malengo yao yatimie hawa si 'Malaya'???
Ahhaaaa......!!!!Hapana mkuu huyo hutomwita malaya maana huyo anaetoa penzi mara kwa mara ili apate kitu fulani huitwa kahaba..
Mkuu mtu huyo si sawa kumwita malaya...Kwanza malaya kwake hapana hakuna sasa huyo anaeweza hadi kuchagua kati ya 20 apige kadhaa si malaya...Kiufupi nadhani ushasikia watu wakisema huyu demu anapepo la ngono yaani watu hawa wanakosaga msamiati wa hapana kwao hadi jamii inaamini si akili zao ila wapo na mapepo ya ngono..Aisee hapa umeonyesha ni yule mwanamke ambae hawezi kukataa. Na mwanaume ambae hachagui yeye ilimradi kaona mwanamke..! Vp mwenye uwezo kukataa na kuchagua,mfano ametongozwa na wanaume 20 kwa mwezi,akawakataa 16,lkn wanne akawapa na mwanaume anayechagua kwa mwezi awafunue wanne vp hao siyo malaya??
Duh..! Haya mkuu mangatara ngoja tuendelee kupata maoni ya wengine.Malaya ni mtu mume/mke aliyeolewa kihalali kabisa, na kwa taratibu zoote stahiki, lakini, hatosheki na aliye muoa, anagawa peremende yake nje kwa kila anayemwona, na kwa bei poaaa. Yeweza kuwa pombe, chakula cha mchana au lift. Malaya hupenda vitoto vidogo vya kulingana na wanawe. Mara nyingi hawapewi cha kuwasaidia maishani baadaye ka vile nguo, nyumba au gari. Hawavihitaji bali wao ndo hutoa hivyo ili kuwafanya wapenzi wao wasiwaache.
Kwa ufupi, hawatosheki
Nlisubiri difinishen yako kwa hamuuuu...HA HA HAAA.....Wacha nisomee tuu