Hivi ulitongozaje siku ile ulipo tongoza kwa mara ya kwanza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ulitongozaje siku ile ulipo tongoza kwa mara ya kwanza.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Only Kilo, Aug 6, 2012.

 1. The Only Kilo

  The Only Kilo JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ilkuwa wapi? Ulijiaanda je? Ulichuwa muda gani? Uliganganya kwa asilimia gani? Ulihisi hofu kiasi gani? Na ulijibiwa vipi baada ya sound zako zote?
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,980
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mie nakumbuka niliandika barua tuu kuwa nakutaka
   
 3. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  dah! Me napitia mitaaa ileeeeee,wanakuja wenyew...napanda dau then naopoa....siumizi kichwa mkuu...
   
 4. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  kuna jamaa alikuwa bingwa wa kuandika barua za mapenzi nilimtumia huyo kwa ofa sigara mbili za Nyota, barua aliyonitungia huyo staa nilimpa mdogo wangu wa kike aipeleke kwa demu wangu mtarajiwa. Ilinichukua mieze miwili kupata majibu, hata hivyo nilikubaliwa na sasa tuna watoto wanne,first born anasubiri jina lake litoke TCU!
   
 5. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Niliandika barua na kwa sabab nilikuwa na mwandiko over kisigino nkampa best yangu mmoja akaipaste, nikamimina na mapoda ya kufa mtu, nkachora kaapicha ka love, alivoona mwandiko ulivotoka akajua kapata mtu kumbe ya kupaste, baadae aliKuja nitosa .
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Weeewe,njoooo,nakupeeeeenda, kilichofuatia nilijibiwa nakusemea kwa mama yako.........
   
 7. e

  ebro jerry New Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daah,watu wakali mi ilikuwa ni siku ya valentine nilinunu zawadi kidogo kama pipi nyingi na karatasi yenye ujumbe wa mapenzi nikampa mshkaji wangu aipeleke, alikubali
   
 8. S

  Slaker JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kumbe baba nawe umo humu,,,nw i know kumbe mvuta fegi ndye alimaproach mamito wako ...nice work dad
   
 9. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me nilitafutiwa na wazazi
   
 10. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Mi nlimuandikia kaujumbe kwenye daftari la jografia, akasau kuchana hiyo karatasi, akakusanya daftari. Hiyo kesi ilikuwa kubwa mpk kwa mwalimu mkuu. Huyo dem sasa hv ni hakimu kanda ya ziwa huko.
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Watoto wa siku hizi hawakawii kutafuta kamusi kuangalia "kutongoza" maana yake nini.
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nico sredi zako ni za mapenzi mapenzi daa idolesence mbaya sana hata sie tulipitia hvyohvyo so usihofi litapita tu hilo.
   
 13. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Nilijipanga na maneno kibao lakini nilipokutana naye yote yakapotea, lakini kwa kuwa msichana alinielewa hisia zangu aliishia kucheka, nakumbuka aliniambia ”najua unanipenda lakini huna nafasi katika moyo wangu, samahani kaka” hapo ndo nikapata cha kuongea na kumshawishi mpaka akaingia kumi na nane
   
 14. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kaka we mkali!nimeipenda story yako!SIPATI PICHA KIJANA WA TCU akijifanya mjanja wa watoto wa kike utakamvomtoa nishai
   
 15. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  sasa na wadada nao waseme ilikuwaje walipotongozwa mara ya kwanza
   
 16. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,332
  Likes Received: 2,328
  Trophy Points: 280
  Nilimuambia "Samahani Irene naomba tujamiane" aise alicheka japokuwa alikuwa ananinipenda na akanifundisha kuwa "Wenzio hawasemi hivyo" nilijiona box sana ila nilikuwa sijabarehe.
   
 17. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahahahaaaaaaaaaa, hii kali, ungemuimbia embe dodo limelala mchangani lol... hongera
   
 18. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hii imenkumbusha kisa cha jamaa wa movie ya the gods must be crazy,part one kama sikose,
  jamaa alijipanga kweli kweli ila alipofika akishia kuharib mwishoe akamtell mdada ni an interesting psychological phenomena..............mdada alikufa mbavu kwa kwa jinc jamaa alivyokuwa anahangaika ila alimwelewa akampiga bonge la kiss.............mambo yakawa mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 19. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani kaka zetu mnatuchekesha, haya ngoja sie tukae pembeni tusome stile mnazokujaga nazo ila hii kali.
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  we muongo kabisaa, mwandiko hauwezi kuvunja mahusiano
   
Loading...