Hivi ulishawahi kusingiziwa kuwa wewe kichaa?

Hivi ulishawahi kusingiziwa kuwa wewe kichaa?

ninajiuliza inakuwaje katika hali iliyomtokea huyo dada...aishie kuwa kichaa...yani hivyo tu....watu wakushike, wakusingizie na wewe uwehuke kweli....imenichanganya kidogo hii.... back to the off topic....MERRY XMAS TO YOU TOO....

Dada angu alikuwa normal hata alivyotoka kwenda kazini hakuwa dalili yoyote ya ukichaa ila ni kwamba alipanic wakati alipong'ang'aniwa kuwa yeye ni kichaa na ametoroka nyumbani kwa hiyo akakosa time ya kujieleza vizuri kama unavyojua hapa Tanzania mob justice iko juu sana
 
jackbauer ameeleza sahihi kabisa.. Psychiatrists wanasema kila mtu ni sakala,ila tunatofautiana viwango. Yaani hata wao ni masakala pia.
 
kuhusu dadako nakupa pole sana! Ukishajulikana una tatizo hilo,hata CV yako iwe nzuri vipi,kupata kazi ni ndoto!
 
Kuna mtu mwingine imetokea mkakorofishana sasa kwa kukutaka kukukomesha anawaambia watu wakukamate eti wewe ni kichaa

lol lol dunian kuna vihoja,
hivi watu hawawezi kutofautisha kichaa na mzima?
 
@nikutonye
siku zote mtu wako wa karibu inakuwa ngumu sana kukubali ana tatizo hasa la akili
sijajua ni kwanini, lakini wanafamilia mnakuwa na kitu kama trust in her/him plis upendo mnakuwa mnadhani yuko sawa kumbe si sawa hasa kama si aggressive.

Kwa huyo dada ako, ilikuwa rahisi kwa mtu wa nje kukubali ana tatizo la akili kuliko nyie wanafamilia. Madaktari sidhani kama wanaweza kumpima dada ako wakamsngizia tatizo ambalo hana.
 
Back
Top Bottom