nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
jamani hili jambo naona linaendelea kwa kasi katika jamii mtu kutishiwa au kuitwa kichaa wakati sio. Kwa kawaida kichaa hawezi kusema kuwa yeye ni kichaa bali atasema mimi sio kichaa bali wewe ndo kichaa kwa hiyo imezoeleka hivyo. Sasa inapotokea watu wakakusingizia hivyo unatakiwa ufanyaje?