Mkuu Deja Vu ni niniNamba 1 kuna ukweli.
Namba 2 sure. Déjà vu.
Namba 3 sound.
Déjà vu is the feeling that one has lived through the present situation before. This is a French phrase that translates literally as "already seen."Nyingine hii hapa unafika sehemu afu akili yako inakumbuka kwamba ushawahi kufika eneo Hilo.
Kitu unahisi kama ushawahi kukifanya before. Kumbe ata hujawahi. Ubongo unakudanganya.Mkuu Deja Vu ni nini
Hii ni Spiritual Time traveling.Nyingine hii hapa unafika sehemu afu akili yako inakumbuka kwamba ushawahi kufika eneo Hilo.
Inakua sio ubongo ni Mind.Kitu unahisi kama ushawahi kukifanya before. Kumbe ata hujawahi. Ubongo unakudanganya.
SawaKitu unahisi kama ushawahi kukifanya before. Kumbe ata hujawahi. Ubongo unakudanganya.
Ndo nagundua saa hizi hili ila nlikuwa naliona tu na sina maelekezo ya kutosha juu yake. Asee!Mimi kitu nilichogundua kwenye maisha, sometimes kuna watu unawaona kabisa unawazidi vitu vingi tu kama ELIMU au KIPATO lakini unashangaa WAO wana FURAHA kuliko wewe [emoji1787]
Kitu unahisi kama ushawahi kukifanya before. Kumbe ata hujawahi. Ubongo unakudanganya.
Mind sindio ubongoInakuwa sio ubongo ni Mind.
Likubali tu hivyohivyo maana naambiwa hapa eti ni ^maelekezo kutoka juu^ 🙂Ndo nagundua saa hizi hili ila nlikuwa naliona tu na sina maelekezo ya kutosha juu yake. Asee!
CAPITAL WRONG!!!Hii ni Spiritual Time traveling.
Your soul arrives before your physical body