Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,359
- 111,651
Kama ni hivyo walau kuna matumaini...
Lakini je vipi ile sheria ya dharura ya gesi ya 2015, kuna mtu anajua nchi itapataje faida baada ya uwepo wa plant hiyo...
Lakini je vipi ile sheria ya dharura ya gesi ya 2015, kuna mtu anajua nchi itapataje faida baada ya uwepo wa plant hiyo...
StatOil wanarudi mwezi wa 10 kuanza kujenga hiyo plant pale Lindi.. Rais wao alikuwa Tz majuzi tu hapa kuweka mambo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app