FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,336
- 13,660
Kuisafirisha kivipi boss?Statoil wanaisafirushaje hiyo gesi?
Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuisafirisha kivipi boss?Statoil wanaisafirushaje hiyo gesi?
Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
Mwambie tu kilichobaki kwa sasa ni hiyo plant maana visima vyote viko tayariBado hawajaanza uzalishaji na wakianza wataichakata na kuibadili toka gesi kuwa kimiminika(Liquefaction).
Hivyo gas itakayosafirishwa ni liquefied natural gas(LNG). Na itasafirishwa kwa meli maalum.
Sawa sawa fisadi kuu ni kweli unachosema.Mwambie tu kilichobaki kwa sasa ni hiyo plant maana visima vyote viko tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafurahi unazisoma insha zangu kwani huna kazi.Endelea kuandika insha.
Endelea kufurahi.Nafurahi unazisoma insha zangu kwani huna kazi.
Yaani kweli kabisa kuongelea rasilimali zetu na matumaini ya maendeleo kutokana nazo ni majungu? Wewe si tu magonjwa mtambuka ndiyo yanakusumbua,kuna la zaidi.Bavicha badala ya kupanga mikakati ya 2020 mmebaki kupika majungu tu. Endeleeni hivyo hivyo, tena kwa nguvu zaidi.
tunayotumia bado ni ya nje,subiriKinachoniuma ni kitendo cha gesi kutokushuka bei wakati inachimbwa hapahapa nchini
Tena ni majungu ya kiwango cha ufipa.Yaani kweli kabisa kuongelea rasilimali zetu na matumaini ya maendeleo kutokana nazo ni majungu?...
Mpumbavu utamjua tu kwa hoja zake dhaifu na uthaifu wake hujionyesha kwenye matusi. Tuseme wewe hilo tundu huna? Au ndio yale ya nyani haoni kundule?Angalia hapo nyuma yako kuna tundu la gesi wape waingize
Kuna tofauti gani kati Liquefied natural Gas (LNG) na Liquefied Petrolium Gas(LPG) ambayo ndiyo tunatumia majumbani.Gas toka visima vya msimbati na mnazi bay inazalishwa na kusimamiwa kwa partnership kati ya Maurel & Prom(main partner with 48.06% za shughuli za uzalishaji na 60.075% katika shughuli za utafiti), Wentworth (31.94% za uzalishaji) na TPDC(20% za shughuli za uzalishaji).
NB: Bomba toka mtwara hadi dar pamoja na processing facility ya madimba vyote vinamilikiwa na kuendeshwa na serikali ya Tanzania.
Liquified natural gas (LNG) ni gas asilia iliyoundwa kwa aina mbili za alkanes ambazo ni methane na ethane.Kuna tofauti gani kati Liquefied natural Gas (LNG) na Liquefied Petrolium Gas(LPG) ambayo ndiyo tunatumia majumbani.
Unajua gharama za kujenga hicho kiwanda??StatOil wanarudi mwezi wa 10 kuanza kujenga hiyo plant pale Lindi.. Rais wao alikuwa Tz majuzi tu hapa kuweka mambo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app