Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
...hahahahaha..mwenye buku mfukoni utamjua tu!Makondallion
...hahahahaha..mwenye buku mfukoni utamjua tu!Makondallion
Acha uongo, hamna pillion wala kilion!
Mpaka sasa hakuna trilionaire duniani? Ila mabilionaire wa dola wapo! Ngoja niweke rekodi niwe quadrillionaire wa kwanza duniani!Jibu sahihi ila spelling ni quadrillion
Mpaka sasa hakuna trilionaire duniani? Ila mabilionaire wa dola wapo! Ngoja niweke rekodi niwe quadrillionaire wa kwanza duniani!Jibu sahihi ila spelling ni quadrillion
Kiasi kikubwa cha pesa niliyowahi kuhonga na hadi inaniuma sana ni sh elfu 12500Mkuu kwani unataka umuhonge mke wa mtu?
Malakineaukiwa na mabilion we ni bilionea
ukiwa na mamilion we n milionea
ukiwa na malaki?
ukiwa na maelf? unaitwajeee
Umetisha kiongozi!!Trillion (Number of zero 12)
(1,000,000,00
Quadrillion (number of zero 15)
Quintillion (number of zero 18)
Sextillion (number of zero 21)
Septillion (number of zero 24)
Octillion (number of zero 27)
Nonillion (number of zero 30)
Decillion (number of zero 33)
Undecillion (number of zero 36)
Duodecillion (number of zero 39)
Tredecillion (number of zero 42)
Quatttuor- decillion (Number of zero 45)
Quindecillion (number of zero 48)
Sexdecillion (number of zero 51)
Septen-decillion (number of zero 54)
Octodecillion (number of zero 57)
Novemdecillion (number of zero 60)
Vigintillion (number of zero 63)
Centillion (number of zero 303)
Lakioneaukiwa na mabilion we ni bilionea
ukiwa na mamilion we n milionea
ukiwa na malaki?
ukiwa na maelf? unaitwajeee
HahaLakia.... Elfia.
HahahaMalakinea
Maelfunea
HihihiLakionea
Elfuonea!
ZilionMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
hahahhaMkuu mpe haki yake ni
PANYA BUKU