[emoji3] [emoji3] [emoji3] wasukuma hambakiagi nyumaUnaingia "shitabhalwa"
Zitakuwa zimezidi kipimo, tumia herufi ya mwisho kwenye alphabet A - Z, sema Zillions!Maana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
Piriton 1=100000000000000000000000000pTrilion1= 1,000,000,000,000
Pillion1= 1,000,000,000,000,000
Kilion1= 1,000,000,000,000,000,000,000
lakioneaukiwa na mabilion we ni bilionea
ukiwa na mamilion we n milionea
ukiwa na malaki?
ukiwa na maelf? unaitwajeee
Kilioni anafika shetani tuu. [emoji15] [emoji15] [emoji15]Trilion1= 1,000,000,000,000
Pillion1= 1,000,000,000,000,000
Kilion1= 1,000,000,000,000,000,000,000
QuatrionMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
Kumbe enzi zile ela yetu hii kuwa nasamani, tulikuwa tuna tumia cent, wakati hapa cent ndiyo kubwa kuliko...halafu wazungu mbona 7 bado wanatumia cent?Trillion (Number of zero 12)
(1,000,000,00
Quadrillion (number of zero 15)
Quintillion (number of zero 18)
Sextillion (number of zero 21)
Septillion (number of zero 24)
Octillion (number of zero 27)
Nonillion (number of zero 30)
Decillion (number of zero 33)
Undecillion (number of zero 36)
Duodecillion (number of zero 39)
Tredecillion (number of zero 42)
Quatttuor- decillion (Number of zero 45)
Quindecillion (number of zero 48)
Sexdecillion (number of zero 51)
Septen-decillion (number of zero 54)
Octodecillion (number of zero 57)
Novemdecillion (number of zero 60)
Vigintillion (number of zero 63)
Centillion (number of zero 303)
Katrillion...ndo mwishoMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
terabiteMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
Umetusaidia wengi.Trillion (Number of zero 12)
(1,000,000,00
Quadrillion (number of zero 15)
Quintillion (number of zero 18)
Sextillion (number of zero 21)
Septillion (number of zero 24)
Octillion (number of zero 27)
Nonillion (number of zero 30)
Decillion (number of zero 33)
Undecillion (number of zero 36)
Duodecillion (number of zero 39)
Tredecillion (number of zero 42)
Quatttuor- decillion (Number of zero 45)
Quindecillion (number of zero 48)
Sexdecillion (number of zero 51)
Septen-decillion (number of zero 54)
Octodecillion (number of zero 57)
Novemdecillion (number of zero 60)
Vigintillion (number of zero 63)
Centillion (number of zero 303)
Utaingi kwitrilionMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
Vipi kuhusu KISWAHILI chake mkuu.. kwa kiswahili hapo vipi?Trillion (Number of zero 12)
(1,000,000,00
Quadrillion (number of zero 15)
Quintillion (number of zero 18)
Sextillion (number of zero 21)
Septillion (number of zero 24)
Octillion (number of zero 27)
Nonillion (number of zero 30)
Decillion (number of zero 33)
Undecillion (number of zero 36)
Duodecillion (number of zero 39)
Tredecillion (number of zero 42)
Quatttuor- decillion (Number of zero 45)
Quindecillion (number of zero 48)
Sexdecillion (number of zero 51)
Septen-decillion (number of zero 54)
Octodecillion (number of zero 57)
Novemdecillion (number of zero 60)
Vigintillion (number of zero 63)
Centillion (number of zero 303)
In KISWAHILI please.
Brilliant mkuuBi ni kitu cha pili hapa ni 1,000,000x1000
Tri 1,000,000,000x1000
Kwa nadharia hiyo hapo juu, utaona 000x1000 ni hiyo bi yaani sifuri 3 zikijirudia mara mbili au neno Bi ni kitu chenye mambo mawili kwa mfano Bilingual
000x1000x1000 utaona ni sifuri tatu zimejirudia mara tatu ndo hapo tunasema ni Tri yaani kilichotokea mara tatu. Utakumbuka neno Triangle yaani umbo pembe tatu.
Kitu chochote kikiwa kimejirudia mara 4 huanza na neno QUAD kama vile Quadrant yaani katika majira ya nukta au ukichora umbo la pande nne ya dunia katika mhimili wa X-Y, upande wa Kaskazini Magharibi ipo katika Quadrant ya nne ambayo ni nyuzi 270 hadi 360.
Kwa hiyo ni kweli, hela inayofuata baada ya Trillion ni hiyo inayoanza na neno QUA